Mpiganaji Hassan Mhelela wa BBC London akimhoji mgombea mwenza wa urais Tanzania Bara Dk. Mohamed Ghalib Bilal mara baada ya mkutano wa JK na waandishi wa habari katika ukumbi mkongwe wa Arnautoglou hall jijini Dar usiku huu. Kulia mwenye hijab ni mpiganaji mwingine wa BBC London Bibie Zuhura Yunus
Mpiganaji Hassan Mhelela akimhoji mwanasiasa mkongwe
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru baada ya mkutano huo

Mpiganaji Hassan Mhelela akimhoji Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mh. Pius Msekwa baada ya mkutano huo. Kulia ni Dk. Mohamed Ghalib Bilal



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Pole na kazi kaka........naona libeneke linaendelea powa sana..Jansport

    ReplyDelete
  2. UMEJITAHIDI MICHUZI KUITANGAZA CCM KIPINDI CHOTE CHA KAMPENI LAKINI VISIWANI WATAISHIA KUNAWA TU.
    NA HAPA LEICESTER KUNA KARAMU TAR 6.KAMA CUF ITASHINDA TUWEKEE TANGAZO LETU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...