Home
Unlabelled
yanga na jkt ruvu zatoshana nguvu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
.........Huo uwanja mbona hakuna nyasi kabisa???? au umezeeka umepata kipara??? nakumbuka nilikipiga hapo Jahmuri Stadium late 80s na early 90s.........tulikuwa tunateleza kwa tumbo baada ya kutikisa nyavu.....lakini nionavyo hizo picha ukijaribu kuslide kwa magoti utaharibika kuliko mtu aliyeshambuliwa na Chui mwenye njaa kali.........hahahahahahaha!!!
ReplyDeleteWatawala wa michezo mnauchapa usingizi mno...aliyetuloga kweli amekufa......
Kweli kabisa na kwa hali ya hewa ya Moro uwanja ungetakiwa uwe kijani. Au labda uemtandazwa kapeti!!!
ReplyDelete