ajali hii imetokea usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Maganzo,Mkoani Shinyanga mara baada ya gari lililokuwa mbele kusimama ghafla na kusababisha gari la nyuma kuigonga gari iliyokuwa mbele kutokana na kupangwa kwa mawe barabarani na watu wasiojulikana na mpaka kupelekea gari zote kupinduka.hakuna alipoteza maisha katika ajali.

Unasema ajali mbaya? Sikujua kama kuna ajali nzuri.
ReplyDeleteWee wa juu acha ujinga. Unataka kusema hujawahi kusikia hiyo sentensi!!?
ReplyDeleteDuh sina mbavu mie. Anon wa kwanza ni chiboko ... halafu uko sahihi kabisa!!!
ReplyDelete