Home
Unlabelled
ali kiba katika uzinduzi wa Airtel
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaaaaaaaaazi kwei kwei.
ReplyDeleteWAZ UP WITH THE DANCE?. DAH SIKUJUA ALI K ANA KIIBOOOTEY. IM IN LOOOVE ALL OVER AGAIN.
ReplyDeleteKama ujajenga hata nyumba ya makuti adi sasa , utakuwa chizi!!
ReplyDeleteupuuzi gani huu sasa
ReplyDeleteAt anonymous (Tue Nov 23, 11:14:00 AM) Kama ana nyumba ya kulisi???
ReplyDeletekwani huko bongo hakuna madarasa ya kedance? au makundi ambayo kazi ya ni kudance ili kuchamsha shoo zake. Nfikiri ingekuwa bora zaidi kama angeiga kwa usher raymand, chriss brown, omario, marcus houston na wengineo wengi. Sauti nziri kila kitu safi lakina dancing na mavazi aibu. Mavazi yaendane na shughuli yenyewe
ReplyDeleteNyumba ya kulisi ndiyo nini?! hata shule ya chini ya mwembe hawaandiki ushuzi huo, ni nyumba ya KURITHI.
ReplyDeleteAli ,tafuta wacheza shoo,wakusaudie kucheza kwenye shoo zako,unasauti nzuri,lakini uimbe wimbo wenye ujumbe mzuri usikurupuke tu,halafu katika kuvaa angalia sehemu zipi naweza kuonyesha chupi,kwenye shoo hio ulitakiwa uvae suti,ushaanza kukubalika sasa kama muimbaji,lakini kuna mambo inabidi ujifunze.
ReplyDeleteKama nyumba ya kulisi basi alipe inheritance tax mweeee
ReplyDeleteChako chako ndugu yangu mambo ya nyumba ya baba ni zilipendwa