Ali Kiba na Fally Ipupa baada ya kupigwa picha na kundi lao la ONE8 jijini Chicago, Marekani ambako nyota kadhaa wa muziki toka Afrika wamekusanyika kurekodi nyimbo na video. Chini Ally Kiba akiandaliwa kabla ya kupigwa picha
Amani na Ali Kiba wakiwa wamepumzika baada ya kurekodi
nyimbo na kundi zima la ONE8 jijini Chicago nchin marekani.
Kwa habari kamili ya shughuli hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...