Tanzania's High Commissioner to the UK Balozi Peter Kallaghe
arrives at the Buckingham Palace
to present his credentials to the Queen today
Balozi Kallaghe with the Queen's special escort at Tanzania House
Balozi Kallaghe speaks at Tanzania House after coming
back from Buckingham Palace. Left is his wife
Upendo Choir were at hand to colour the occasion
From Ayoub Mzee in London
A bell rings and the door to the main entrance of
the Queen opens, you take two steps forward and bow to the Queen.
Tanzania High Commissioner to the UK His Excellency Peter Kallaghe has presented his credentials to Her Majesty Queen Elizabeth II today The traditional high-profiled ceremony took place at the prestigious Buckingham Palace in West London.
“I am delighted to meet the Queen and present my credentials on behalf of the government and people of Tanzania” said shortly after the closed-door ceremony.

Hundreds of cheering crowds mainly white tourists stormed the streets taking historic photographs as the High Commissioner, his wife and four senior diplomatic staff members were driven in a convoy of horses Meeting the Queen was a one-on-one affair with traditional protocols with no photographs allowed to be taken.

A bell rings and the door to the main entrance of the Queen opens, you take two steps forward and bow to the Queen as a sign signaling your presence to her Majesty Palace. You then walk forward towards the Queen, bows again as you stretch your hand to greet the Queen.
At the Tanzania House where a reception was organised in honor of the High Commissioner, Balozi Kallaghe extended warm felicitations from His Excellency, Jakaya Kikwete the President, and people of the Republic of Tanzania to the Head of State of the United Kingdom and the diplomatic community in London for celebrating what he described as ‘this significant event’ with his mission.
The day was rounded by a performance from Upendo Choir group

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. swali! hivi vazi rasmi ama la kiasili huku Tanzania ni lazima liwe la kimaasai! ama mke wa Mheshimiwa Balozi ni Mmasai kwa kabila?

    ReplyDelete
  2. Annony wa 1, ndio maana yake, we shida yako nini??? kwani unachaguliwa vazi la kuvaa kwenda kwa Queen. huna sera kaa kimya.

    ReplyDelete
  3. Kwa ulieuliza kuhusu vazi alilovaa mke wa balozi. Vazi la kiasili kwa Tanzania inajulikana kabisa bado liko hewani. Kwahiyo nafikiri mtu unaweza kuvaa chochote kinachoweza kuelekeana na tamaduni zetu il-hali uonakeane kibongobongo. Kuhusu kabila lake sina hakika na sidhani kama ni big issue. Wewe usipendelee kutaka kujua sana undani wake. Mind your business

    ReplyDelete
  4. haihusiani sana lakini ukitaka kujua mke wa balozi ni mmasai na balozi mwenyewe ni mgosi toka tanga

    ReplyDelete
  5. HONGERA SANA BALOZI KALLAGHE NA MAMA BALOZI JOYCE KALLAGHE. NAWATAKIENI KILA LA KHERI KATIKA KAZI YA KUIWAKILISHA NCHI YETU NA KUMWAKILISHA MHESHIMIWA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE LONDON. MUNGU AWAIMARISHE. JOYCE UMEPENDEZA SANA!!! RAFIKI YENU Ma G.

    ReplyDelete
  6. brother kallaghe hongera sana nimefurahishwa sana na vazi lako, manake uko very presentable. Bahati mbaya uko uingereza lakini sitaweza kukuona ila hongera kwa kututangazia nchi yetu. Vazi la mama kallage pia si baya ila tu naona kama haikumatch na hiyo suti ya balozi kalage manake wote wangevaa kienyeji ndio ingenifikisha ndipo. si haba lakini.

    ReplyDelete
  7. Inamaana balozi kalage kaenda kwa queen peke yake bila mkewe? manake kwenye picha ile anashuka kwenye gari simwoni, au waingereza wamekataa naomba mnifahamishe wadau

    ReplyDelete
  8. Patrick TsereNovember 03, 2010

    Mheshimiwa Balozi mimi mke wangu familia yangu na watumishi wote wa Ubalozi hapa Lilongwe tunakupongeza sana kwa kuweza kutoa hati za utambulisho kwa Malkia na Mkuu wa nchi ya Uingereza. Hongera sana. Kama ilivyo kawaida tuendelee kuyaweka mawasiliano kati yetu wazi. Hongera na kila la heri in your new assignment nchini Uingereza.

    Ndugu yako Balozi Patrick Tsere

    ReplyDelete
  9. Balozi hiyo suti imekukaa haswa nahisi hata Queen aliikubali kweli wewe ni mwanadiplomasia wa kweli umeamua kuvaa vali la kwao. Mama Balozi Big up umetuwakilisha vyema wamasai, lazimz Queen alikuuliza kitu kuhusu hilo vazi kwani limetulia na ni la kiafrika.
    We anony hapo juu subiri picha zaidi Balozi ataendaje kwa Queen bila mkewe?

    ReplyDelete
  10. Hu8yo QUEEN yupo wapi sasa? Napenda ona picha yake

    ReplyDelete
  11. Joyce Huho Kallaghe tangu utoto wake ni mtu wa kujali kabila lake anatimiza mila, tulipokuwa nae Tabora Secretarial alikuwa anavaa hivyo hivyo kimasai, hivyo msimkandie ni Mmasai kwa kaibila. Umependeza sana Joyce!!!

    ReplyDelete
  12. Hongera sana Mheshimiwa Balozi Kallaghe,

    Naungana na Anon wa Wed Nov 03, 07:19:00 AM kuwa kweli Mh Balozi suti imekukaa mno na kwa hakika Mama nae hajatuangusha hata kidogo kwa kuwakilisha mojawapo ya asili zetu, kweli mmependeza sana na kuwakilisha kile kinachoweza kuitwa ''When Tradition meets Modernity'' and definitely that is our Tanzania, the pride of our Origin, Karibu Tanzania Your Majesty

    Hongera sana na Mungu awatangulie,

    Matukio OleAfrika Aranyande Chuma

    ReplyDelete
  13. Hongera sana balozi, sifa ya mtu lazima upewe, lakini chapa kazi maana tabia ya ugosi unayo.Hivi siku hizi wambulu ni wamasaii, mbona mama anakataa kabila lakini.Wote mko hot lakini mama atulie, amezidi uchoyo. Swiss pot.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...