Ankal eeee,
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 duniani za kutembelea kwa mwaka 2011 !
Katika nchi kumi (10) zilizotajwa, Tanzania na Cape Verde ni nchi pekee katoka bara la Afrika ! Watani wetu wa jadi hawamo katika orodha hiyo !
Nchi nyingine ni kutoka mabara mengine. Sijui kama jamaa wa Tanzania Tourist Board (TTB) wanajua habari hii.
Hii ni habari njema kwa Watanzania wote na Afrika kwa ujumla katika kutangaza utalii wetu. Tafadhali, tembelea hiyo website kuthibitisha habari hiyo.
Mdau Mfugale Meshack
Monrovia, Liberia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Little to they know this is a great news for our country..Few thing to keep in mind
    1. Improve customer service to customers. Keep in mind (mteja is always mfalme). We Tanzanians do not know this.
    2. post your price on thing you are selling .(mambo ya biashara ni maelewano) doesn't work international..once the person sees the price then will be able to start to negotiate.
    3. Have a fixed price for each and every customer. They do their homework before they decide to visit so don't think they are dummies.
    4. Do try to be rich by selling just one item. If you price your products too high you will never get anyone to buy your staffs.

    Ni hayo tu...God Bless my home country .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...