NI MISA YA KUMOMBEA NA KUMUAGA MAREHEMU SUPER COACH SYLLESAID MZIRAY 'MWANANGU' AMBAYE ANATARAJIWA KUZIKWA LEO SAA KUMI JIONI HII KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR
Mwanamzuki Mkongwe hapa nchini Mzee Kassim Mapili nae akitoa heshima zake mwisho mbele ya mwili wa marehemu Super Coash Syllesaid Mziray "Mwanangu",kwenye misa ya kumuombea na kumuaga iliofanyika mchana wa leo katika viwanja vya Biafra Kinondoni jijini Dar na baadaye mazishi yanafanyika jioni ya leo makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
Katibu mkuu wa TFF na Mwenyekiti wa kamati ya ufundi ya TFF,Sunday Kayuni nae akitoa heshima zake za mwisho.
Mwanasheria mahiri Bwa.Alex Mgongolwa nae akitoa heshima zake mwisho mbele ya mwili wa marehemu Super Coash Syllesaid Mziray "Mwanangu", mchana wa leo katika viwanja vya Biafra kinondoni jijini Dar.
Rais wa TFF,Leodga Tenga nae akitoa heshima zake za mwisho
Baadhi ya waandishi wa habari wakichukua matukio mbalimbali kwenye misa ya kumuombea na kumuaga marehemu Super Coash Syllesaid Mziray "Mwanangu", iliofanyika mchana wa leo katika viwanja vya Biafra Kinondoni jijini Dar na baadaye mazishi yanafanyika jioni ya leo makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
Watu mbalimbali kwenye misa ya kumuombea na kumuaga marehemu Syllesaid Mziray.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...