Huyu kocha anatafuta watu lawama. we mwache tu....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Namkumbuka Rafa. Alikuwa na wachezaji wenye viwango vya kufananafanana na hawa lakini walikuwa wanashindana. Mwaka huu kama kumi bora ikipatikana tushukuru manake watu wanaweza kushuka daraja.

    ReplyDelete
  2. Kazi ipo. Huyu Hodgson sio coach wa kuifikisha popote Liverpool. Lazima mabadilikao yafanywe ikiwa tunataka kurudisha heshima ya Liverpool. Yeye sasa anawapa Limbukeni akina Man U, Chelsea na Arsenal uwezo wa kujisifu.

    ReplyDelete
  3. lazima mcheze chandimu msimu ujao mnaongea sana LIVER

    ReplyDelete
  4. This time you will walk alone liverpool.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...