Fred Mbuna wa Dar All Star (shoto) akichuana na beki wa Zanzibar 'Heroes' Othuman Ally wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam,ambapo mpaka mwisho wa mchezo matokeo yalikuwa ni suluhu bin suluhu na kushindwa kutambiana kwa kila timu..
Mshambuliaji wa Dar All Stars, kally Ongala (shoto) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa timu ya taifa ya Zanzibar ‘Heroes’ wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoa suluhu.
Kikosi cha timu ya Zanzibar 'Heroes' kikiwa katika pozi la picha leo kabla ya mtange na Dar All Star's ulipigwa leo katika Uwanja wa Uhuru,jijini Dar.(Picha na Francis Dande).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...