Home
Unlabelled
ibada maalum ya kuwapongeza wabunge wa viti maalum (CCM) yafanyika leo katika kanisa la Assemblies of God Mikocheni B
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi naomba usinibanie maoni yangu tafadhali. nasikia huyu mh ameanza kutangaza kuwa ni waziri je una fununu kuwa ni wizara gani? ni huyo wa katikati.
ReplyDeleteanko ebu nisaidie huyo kaka aliyevaa shati la draft hapo kushoto siyo athumani hamisi mtaalama mwenzako aliyepataga ajali ?
ReplyDeleteMAMA LWAKATARE ANA UPAKO JAMANI!!!MUNGU AKUBARIKI SANA....UMEPENDEZA SANA MAMA....KITU KIMOJA TUU MIMI KINANIUDHI NI WEWE KUWA CCM
ReplyDeleteHuyo wa katikati akiwa waziri mimi najiuzulu utanzania!!
ReplyDeleteannon Nov 22, 08:50:00 AM unayetaka kujiuzulu utanzania,ebu tupe dondoo kulikoni tena uyo mama??
ReplyDeleteumeniwacha hoi
Je, huku si kuingiza siasa kwenye nyumba ya ibada? Anaaminije kama wafuasi wake wote ni CCM? Kwanini wasipongezane baada au kabla ya ibada? Sipendi viongozi wanaochanganya dinia na siasa. Mnatuletea makandokando TZ! ACHENI!
ReplyDeleteWEWE UNAETAKA KUJIUZURU UTANZANIA TAFADHARI TUNOMBA SABABU?
ReplyDeleteMAANA UNA UKWELI KUH HUYO WA KATIKATI TEH TEH TEH
jamani hebu nielimisheni kazi maalumu za wabunge wa viti maalumu, pili je wanalipwa posho sawa na wamajimboni? hivi kukiwa hakuna nafasi hizi kuna athari yeyote kiuwakilishi?mbona hawakufanya kampeni naona kama wanapeana tu ndio maana sherehe kila siku kupongezana.
ReplyDelete