Msanii nyota wa kizazi kipya Diamond aka Mzee wa Mbagala akiwa na Mdau Gardol alijitolea kupiga mzigo bure katika mgahawa maarufu wa wamatumbi wa Vincent Restaurant uliopo mji wa kusoma (Reading) UK kwa ajili ya kusaidia kuchangia na kupromote Urban Tour dhidi ya war on Malaria. Show itakayofuatia itafanyika The CLUB Croydon, London tarehe 12.11.10 kuanzia saa 10pm kiingilio ni £10.00 kabla ya sita usiku.
http://www.youtube.com/watch?v=6pTQwvVncDA
WOTE MNAKARIBISHWA,
URBAN PULSE CREATIVE
Diamond akiosha vyombo Vicent Restaurant akiwa na mdau Hunga
Akipeleka nguna kwa wateja
kazi na dawa....
Toka shoto ni Linda, Hunga, Diamond na wabeba boxi wa Vincent restaurant,
Allan na Gardol





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Kaazi kweli kweli.tutafika tu!!!

    ReplyDelete
  2. I am happy for you!God bless u all wote waliokuwezesha.

    ReplyDelete
  3. we!Dogo wa mbagala vipi?sasa tukueleweje,umesema unajitolea kupiga mzigo bure..sasa mbona unajilipa posho kwa kujishindilia minofu????? heti kazi na dawa

    ReplyDelete
  4. this kaboy is so sweet jamani napenda kalivoimba wakati kana ji-introduce,katundu sana!

    kwakweli mimi sina time kabisa na wanamziki wanao kujaga hapa USA kutoka TZ nawaona kama wana fujo wanajifanya GHETTO kuiga wamarekani tu! hamna personality wala siendagi kwenye show zao.lakini pindi atakapo kuja huyu kijana USA YANI NTALIPIA VIP KABISA! HIGH TABLE AT ANY COST.
    mdau atl.

    ReplyDelete
  5. wewe uliesema kazi na dawa mbona umemsakama hivo sanyingine ndo posho yake.tena kana mshipa wa msosi sahani imejaa kweli!

    hata mimi nakasubiri kaje kwa hamu USA.Tutakapiga misosi ile mbaya!huku ndo kwenyewe kwa MANJUMATI.

    ReplyDelete
  6. kana meno mazuriii myeupee hamna hata cavities yote size moja,uwe unatabasamu hivo hivo kila mala kwani dental form yako ungekuwa unakwenda kwa dentist ingekucost zaidi ya $ 3000.00 macerebrity wa unyamwezini wanafanya mpaka surgery wawe na meno kama yako.umeula DOGO.Meno mazuri ni muhimu sana kwa wasanii kama wewe.

    ReplyDelete
  7. mbagara,mbagaraaaa,mbagaraaaa x2

    ivi uyu ni MURAAAAAA??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...