Toka shoto ni Frank Eyembe wa Urban Pulse, Balozi Petere Kallaghe, Diamond, Naibu Balozi Chabaka Kilumanga, Baraka na Nocha. Baada ya Kuwasili ndani ya UK jumanne jioni Urban Pulse walimpeleka Msanii Mahiri wa Kizazi Kipya Diamond aka mzee wa Mbagala katika ubalozi wa Tanzania hapa jijini London kumtambulisha na kutoa Salam kwa Mh Balozi, Naibu Balozi na pamoja na staff wake. Diamond ametua kwa ajili ya Kufanya Urban Tour dhidi ya malaria. Show ya kwanza itafanyika jumamosi hii hapo ndani ya mji wa MILTON KEYNES CLUB OPUS ikifuatiwa na THE CLUB CROYDON 12/11.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. tupeni address ya Croydon Club pls.tnx

    sio siri huyu Diamond yuko juu..yaani songi la mbagala linanikosha kinoma.

    ReplyDelete
  2. Urban nakupei hongera kwa kumuwezesha huyu kijana Diamond.Nyimbo zake nzuri sana zinanikumbisha mbali sana.Diamond udumu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...