Makocha wa timu ya taifa ya soka ya Wanawake Twiga Stars Charles Boniface Mkwassa Master na Adolf Rishard wakiwa na Mtangazaji maarufu wa michezo wa ITV na Radio One Maulid Kitenge wakifuatilia mazoezi ya timu hiyo jana mjini Johannesburg. Twiga Stars inatupa karata yake nyingine leo kwa kuvaana na Mali kwenye uwanja wa Sinaba nje ya Johannesburg, Afrika ya Kusini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Embu ngoja kwanza, duwa gani hii baadhi mnapose ktk camera hasa wewe coach na kitenge, embu salini inavyopaswa.

    Game iliyopita Esther Chabruma ulichapa game ya uhakika na wote sasa leo ushindi ni wenu...kila la heri

    ReplyDelete
  2. agha! Wanaacha kupiga zoezi wanapiga dua!? Aisee!

    ReplyDelete
  3. kwani wote ni dini moja?

    ReplyDelete
  4. NATAMANI SANA NIIONE HII MECHI JAMANI. NI SAA NGAPI? NA ANY LINK PLEASE, ITAKAYO ONESHA HILI PAMBANO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...