Globu ya Jamii inapenda kutoa salamu za sikukuu ya Eid kwa waislam woote ambao wanaungana leo Duniani kote kuadhimisha ibada ya sikukuu ya Eid Ul Adhaa (Idd Kubwa) ambapo ndani ya sikukuu hii imehalalishwa kuchinja,hivyo kwa wale wenye uwezo huo sina budi kuwakumbusha jukumu hilo Inshaallah.-Michuzi


Heri katika kuiadhimisha sikukuu ya Eid Ul Adhaa.
ReplyDelete