Mbuzi wakiwa katika usafiri tayari kwa kwenda sokoni ambapo kwa sasa yake ni kati ya sh. 70,000 mpaka 80,000 kutokana na sikukuu ya idd el haji.
mfanyabiashara wa Mbuzi hao wakimpakia mmoja wa mbuzi hao kwa namna yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hiyo ni animal abuse

    ReplyDelete
  2. Animal rights wapo wapi? Huu ni uvunjaji wa haki za wanyama. Haitakiwi wachinjwe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...