ukiwa na gari ambayo umeisajili kibiashara ndani ya jiji la Mwanza,basi jua kwamba mambo yakigoma upande mmoja mwingine yanakwenda kama hivi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongra,
    Mjasiriamali na mwana masoko mzuri. Haya yanafanyika mahali pengi duniani.

    Gawa sehemu ya faida kwenye miradi ya shule na au zahati za kata.

    MAINA OWINO

    ReplyDelete
  2. Hii hata Dar ipo siku nyingi, nenda Kariako uatakuta magari mabovu yameegeshwa sokoni na yanatumika kama kaunta za kuuzia bidhaa njia hii inakuhakikishia usalama kwani askari wa jiji hawatakukamata kwani wewe ni tajiri una gari.

    ReplyDelete
  3. Basi na mimi nitaiita disabled or stationary mobile business, what the great idea! you dont pay rent,tax and other associative business running costs.once you make in this kind of business,you will make super profit! good luck for those brothers who are trying to make it.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...