Meneja wa Kilaji cha Grand Malt,Consolata Adam (shoto) akimkabindi mmoja wa wawakilishi wa Vyuo vya Elimu ya Juu zawadi ya box la Grand Malt.
Meneja wa Kilaji cha Grand Malt,Consolata Adam akipongezana na Mratibu wa Bonaza hilo la wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu,Innocent Melleck mara baada zoezi la ugawaji zawadi kwa wanavyuo hao katika Bonanza lililofanyika leo ndani ya Viwanja vya TCC Club,Chang'ombe jijini Dar.
Mshambuliaji wa Timu ya TSJ akijaribu kumtoka beki wa timu ya Inter Grated katika mtanange uliopigwa jioni ya leo katika Bonanza la wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu jijini Dar.
Msanii wa Hip Hop kutoka pande za ILALA,Chid Benz akifanya vitu vyake katika Bonanza hilo.
Wanafunzi kutoka Vyuo mbali mbali walifurika ndani ya viwanja vya TCC Chang'ombe katika Bonanda la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...