Msanii wa kizazi Kipya Diamond ni miongoni mwa wa wasanii mahiri walichaguliwa kuwania tuzo za MTVBASE MAMA AFRICA barani africa zitakazo fanyika mjini Lagos Nigeria tarehe 11.12.10.
Hivyo Basi nawaombeni watanzania wenzangu na wadau wote wa muziki mnipigie kura ili nishinde tuzo hii muhimu ili iweze kuja Tanzania na ituletee SIFA na HESHIMA kubwa kwa kila MTANZANIA.
Tafadhari nawaombeni sana mnipigie kura kwa njia ya simu kwa kuandika neno BNA DIAMOND kisha tuma text kwenda namba 6262,
kwa walio nje ya Tanzania
tuma text 15726
au tembelea tovuti hii
bonyeza mtv mama halafu ingia ndani ya nominees
naomba unipigie kura as the best New Act.
Natanguliza shukrani zangu za dhadi,

Asanteni wote,

Diamond Platinumz
akishirikiana na
URBAN PULSE CREATIVE
http://www.youtube.com/watch?v=0uYnYj34xVQ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...