Jeshi la Polisi nchini limeandaa mafunzo maalumu kwa maafisa wake ambayo yatawasaidia kukabiliana na matukio ya uhalifu na uporaji ya kisanyansi ambayo yameanza kuota mizizi hapa nchini.
Mafunzo hayo ya siku 12 yameandaliwa kwa mashirikiano na jeshi la polisi la Australia yamelenga kuwapatia maafisa hao mbinu za kushughulikia aina hiyo ya uhalifu hapa nchini.
Akifungua mafunzo hayo jijini DSM naibu mkurugenzi wa upelelezi SAMSON KASSALA amesema lengo la mafunzo hayo ni kutoa kuwapatia mbinu bora ili waweze kukusanya taarifa za kipelelezi kwa njia za kisanyansi. Mafunzo hayo yanajumuisha maafisa wa polisi kutoka nchi za Tanzania nchi za Burundi,Rwanda,Kenya,Uganda pamoja na Malawi

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...