JK AKIZINDUA BUNGE LA 10 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MJINI DODOMA (SEHEMU YA I)

kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mimi ningekuwa raisi kwanza ningemfukuza kazi mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kwa kulipwamshahara miaka mitano kisha anashindwa kuhakikisha kuwa idadi ya wapiga kura itakuwa kubwa, ni aibu kwa raisi kuchaguliwa na idadi ndogo ya wpiga kura hata kama angepata kura zote. Bahati mbaya CCM na tume ya uchguzi wanajivunia idadi hiyo ndogo!

    ReplyDelete
  2. Kidude, JamaicaNovember 19, 2010

    Jamani hivi ni kweli JK amemteua tena Kingunge kuwa Mbunge na Waziri asie na Wizara Maalum???
    Hizi habari zimeenea sana hapa Jamaica

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...