Home
Unlabelled
JK amuapisha Jaji Werema Ikulu Leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
He`s a very good person man!kiukweli jamaa anastahili.
ReplyDeleteZAUNUNU-AMSTERDAM
John Mwanyika aliishia vipi nahii nafasi?
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=Jk_huBe26Ms&feature=related
ReplyDeletenampa hongera sana once again uncle wangu to be attorney general anastahili Judge Werema. Mwanyika alistaafu umri!
ReplyDeleteITULE PETER.
Cool! Je uteuzi wa baraza la mawaziri utakuaje? JK amejifunza lolote kuhusu aina ya watu wananchi isyowataka(katika baraza lake liliopita si chini ya mawaziri 10 walibwagwa na manaibu waziri sijui wangapi)?Naomba wanablogi tucheze kamchezo kama wewe ungekuwa rais sasa hivi na wabunge wa CCM jinsi walivyo au amabao ungeweza kuwateua kuwa wabunge ungemteua nani na kwanini na baraza lako lingekuwa na watu wangapi?
ReplyDeleteNaomba nitangulie kujibu swali hilo la kufikirika:
1.Kiyenze Mizengo Peter Pinda (lakini nina wasiwasi kama JK atamteua maana alikuwa kimya mno wakati wa kampeni za uchaguzi uliyopita). Sababu: Kichwa, mzalendo, mchapa kazi
2.Mark Mwandosya.Sababu:hizo hizo hapo juu.
3.John Pombe Magufuli. Sababu: hizo hizo
3.David Mwakyusa.Sababu:Kichwa, Mchapa kazi
4.Jumanne Maghembe. Sababu: Kichwa, mchapa kazi
5.Stella Manayanya. Sababu: kichwa, mzalendo.
6. Vichwa vingine 2 vyenye kuchapa kazi
7.Manaibu wasiozidi watatu kila wizara. Wizara ziwe chache na ziunganishwe kila inapowezekana- kwa mfano, Usalama wa Raia na Mambo ya Ndani ziwe wizara moja, Elimu na Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia ziwe wizara moja na kadhalika- ili tubane matumizi.
Je wanablogi mnasemaje mngekuwa nyie mnafanya uteuzi?
ccm wametulia safi naimani na jk anacheka ila kajipanga nitaweza kumfurahia akiweza kumpa meno makufuli asafishe nchi na chama.
ReplyDelete