baadhi ya ma Model wakipita jukwaani kuonyesha mavazi yaliyobuniwa na Mwanamitindo Khadija Mwanamboka katika tamasha la Swahili Fashion Week lililomazizika usiku huu katika viwanja vya Karimjee,jini Dar.
Model bora katika tamasha la Swahili Fashion Week,Ally Hassan akipita jukwaani kwa madaha kabisa mara baada ya kutangazwa mshindi.kulia ni MC wa shughuli nzima ya Swahili Fashion Week,Abby.
Ankal akiwa na Boss Mkuu wa TBC,Bw. Tido Mhando (kulia),Mdau wa Ughaibuni (mwenye tai) akiambatana na bintie,pamoja na Ankal Othman Michuzi Jnr (waweza mtembelea katika libeneke lake kwa kubofya hapa) mara baada ya kumalizika kwa tamasha la Swahili Fashion Week usiku huu.





Dah bola uchaguzi umeisha maana wengine ulikua unatuboa tu,,sasa tupe raha za ukweli
ReplyDeleteSWAHILI FASHION WEEK
ReplyDeleteKwa ufafanuzi zaidi wa picha ya pamoja ni ankel Michuzi,Michuzi Jr,Mickey Jones Amos,Chichia-mwana mitindo,mzee Tiddo boss wa TBC
Duh!
ReplyDeleteMickey Jones haupitwi?
Wewe hapo kwanza unayeboreka ulikuwa unatafuta nini huku? Ungesubiria uchaguzi uishe ndiyo uje huku.
ReplyDeleteMzee wa konos, umeliweka penyewe hasa! Kitu inalipa mno father
MAC S, Umemwona ANKAL akiwa ndani ya suti, unajua mnafanana sana, nathani akija mby mtafute,mchome nae nyama kidogo au?
ReplyDeletemzee wa mkololo.
Soooo Gayyy!!!
ReplyDelete