Hivi ndivyo jua linavyoonekaa hapa Dar hivi sasa. Juhudi za kuwapata wataalamu kutufafanulia maana yake zinaendelea. Ni kwamba kuna 'rainbow' imelizunguka jua kwa muda sasa na haijulikani hali hii itaendelea hadi muda gani. kwa sasa mawingu si mengi angani ila mwanga wa jua kidogo umefifia. wataalamu tunaomba msaada tutani tafadhali...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Yeah nimeona hii, uki-google utapata majibu mengi tu yanayofanana na hili hapa chini, inshort wanasema hivi:
    It is usually seen when there are high clouds overhead. Those clouds are made of tiny ice crystals, which will refract the sunlight much like a prism will. And voila! You have a rainbow halo around the sun. It works the same way with moonlight. It's usually a sign that rain is on the way, as high clouds usually precede a storm front.

    Kwa hiyo labda mgawo wa maji utaisha...lol..si tuliambiwa hakuna mvua?

    ReplyDelete
  2. Kwa mujibu wa wataalam wa sayansi ya hali ya hewa, tukio hili hutokea baada ya mvua nyingi (torrential)kunyesha. Unyevunyevu unaobakia angani baada ya mvua husababisha ukungu (halo) kutokea, ambao unaonekana kulizunguka jua. Kama unavyojua, maji yana kiwango chake cha reflection, ambayo husababisha upinde wa mvua... sasa hii ni kama upinde wa mvua, lakini kulizunguka jua... yaani, HALO!

    ReplyDelete
  3. Hali ya angani inafanana na ilivyokuwa ktk visiwa vya Marshals ktk bahari ya pasifiki wakati wa majaribio ya kulipua bomu la atomic, hali angani ilikuwa kama hiyo.
    Mdau
    Vanuatu.

    ReplyDelete
  4. Why is there a rainbow around the sun or moon?
    By Scott Sistek

    Story Updated: Dec 21, 2009 at 9:05 AM PST

    You’ve all seen rainbows on those days where it's raining and the sun's out at the same time. But what about those times when you see a rainbow-like halo around the sun or moon?

    It's the same physics, really. The halos (or, sometimes known as "sundogs" around the sun) are usually seen when there are high clouds overhead. Those clouds are made of tiny ice crystals, which will refract the sunlight much like a prism will. And voila! You have a rainbow halo around the sun. It works the same way with moonlight. It's usually a sign that rain is on the way, as high clouds usually precede a storm front.


    Sometimes the rainbow isn't in the form of a halo, but just colors a streak of clouds -- the ice crystals in that cloud were at just the correct angle from the sun to produce the prism effect shown here

    http://www.komonews.com/weather/faq/4308372.html

    David

    ReplyDelete
  5. Jua liko kwenye ibada, leo ni siku kubwa ya waislam kufanya ibada, watu wako kwenye kisimamo, Arafa kwa hiyo jua mionzi yake haina nguvu leo. Huo ndio ufafanuzi pekee ninaoweza kukupa kulingana na imani yangu, maana ninaamini hali hiyo imetokana na uwezo wa Muumba wa mbingu ardhi na vilivyomo!

    Hiyo torrential rain imenyesha lini na wapi?

    ReplyDelete
  6. That is the Covenant betweeen God and Noah to every Living Creatures. Genesis 9:8-17

    ...Then God said to Noah and to his sons with him, "Behold,I establish my covenant with you and your offspring after you,and with every living creature that is with you, the birds, the livestock, and every beast of the earth with you, as many as came out of the ark; it is for every beast of the earth.I establish my covenant with you, that never again shall all flesh be cut off by the waters of the flood, and never again shall there be a flood to destroy the earth."And God said,"This is the sign of the covenant that I make between me and you and every living creature that is with you, for all future generations:I have set my bow in the cloud, and it shall be a sign of the covenant between me and the earth.When I bring clouds over the earth and the bow is seen in the clouds,I will remember my covenant that is between me and you and every living creature of all flesh. And the waters shall never again become a flood to destroy all flesh. When the bow is in the clouds, I will see it and remember the everlasting covenant between God and every living creature of all flesh that is on the earth."God said to Noah, "This is the sign of the covenant that I have established between me and all flesh that is on the earth."...

    ReplyDelete
  7. Ingekuwa Ulaya wangesema hapo kati huyo Jesus. kwakutojuwa image ya jesus kweli sura yake ipo vipi wanachukulia sura ya mtu wa Kitaliano aliye act jesus basi mpaka leo ndio jesus.

    ReplyDelete
  8. Siku za bwana kuja zinakaribia na tukeshi tukiomba na kuimba mapambio. Ankle waeleze wadau!

    ReplyDelete
  9. That is Halo - aka ICE BOW or Nimbus forming 22 -50 degrees arround the sun due to sunlights being refracted twice in hexagonal ice crystals suspended in atmosphere.

    It is the same phonomenon of refraction through prism, exeot this is deflected once by 60 degree.

    ReplyDelete
  10. Kilichotokea kwa jina ya kitaalamu ni HALOS. Halos is is an optical phenomenon produced by ice crystals creating colored or white arcs and spots in the sky. Kwa ufafanuzi Zaidi Tembelea http://en.wikipedia.org/wiki/Halo_(optical_phenomenon)

    MDAU, www.eyezoneopticals.com

    ReplyDelete
  11. real nice photos you have got but my dear you have forgotten the primary 4 Science tulipojifunza kupatwa kwa mwezi, jua na dunia? Eclipses of the Sun & Moon and earth?

    kama nakumbuka vizuri kuna 3 types of the cycle of the moon, sun and the earth (Three Types of Eclipses) 1. Solar Eclipses
    Solar Eclipses occur when the Earth passes through the shadow of the Moon. 2.Lunar Eclipses
    Lunar Eclipses occur when the Moon passes through the shadow of the Earth. 3.The Eclipse Year But, it must be a Full or New Moon when the nodes line up to have an eclipse. This happens only very rarely. From a given location on the Earth you see and this
    is what happend today. real you have got very good photos i was at moven pick at that time and i didnt get it clear lets share more on this, love to see poeple who look at the sky cause i do aviation and i wlys look at the sky

    ReplyDelete
  12. Maana yake ni kuwa isingekuwa agano uchakachuzi uliofanyika ungepatilizwa kwa mafuriko.

    ReplyDelete
  13. Wewe anony wa Mon Nov 15,10:14:00 PM usipotoshe hakuna Solar wala Lunar ellipse hapo.

    Solar ellipse inatokea kama mwezi unapokuwa kati ya dunia na jua na vyote vitatu vinakuwa katika mstari mnyoofu.Ikitokea hivyo kunakuwa na giza eneo jua lilipopatwa.

    Lunar ellipse inatokea kama dunia ikiwa kati ya mwezi na jua,mwezi hushindwa kuakisi mwanga wa jua.

    Hii iliyotokea LEO(Jumatatu 15/11/2010) kitaalamu inaitwa 'Halos',ni kwamba inaonekana hivyo kwa kuwa angani kunakuwa na mawingu mengi.Mawingu hayo yanakuwa na vipande vidogo vya barafu 'tiny ice crystals',ambavyo vinasharabu 'refract' mwanga wa jua kama 'prism' ifanyavyo.Hapa maana yake ni kuwa mwanga wa jua unapopita kwenye hivyo vibarafu unapindishwa katika nyuzi 22.
    Sasa kitendo hicho kinasababisha itokee 'voila' hiyo 'rainbow' kuzunguka jua.Na hii ni dalili kuwa kutakuwa na mvua kati ya masaa 12 hadi 24.

    Naomba kuwasilisha.David

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...