Mtoto EVE DANIEL CHEGERE akiwa amepozi baada ya kula Kajinondozzzz
kidogo cha kumaliza Nursery pale St. Mary's International School- Mwanza Campus tarehe 20/11/2010. Mwakani anaingia Grade 1 hapohapo St. Mary's

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankari.. Mdau wa 10,000,000 wa blogu yetu ya jamii ni nani?? kutoka Nchi gani??
    Tupe Nyuzi Michu!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...