Kuanzia sasa mteja yeyote yule wa simu za mkononi atakayejiunga na Vodacom, atapata SMS 100 za BURE na azitumie kwenda kwenye mtandao wowote ule wa simu. Ni rahisi kabisa, nunua laini yako mpya ya Vodacom, jiunge, jisajili na upate SMS 100 BURE!!

Vilevile, kwa wateja wa Vodacom ambao watasajili namba zao kabla ya 14/11/2010 pia wataweza kupata SMS 100 BURE. Epuka kusitishwa kwa mawasiliano yako kwa kwenda kusajili namba yako Vodashop, Vodaduka au kwa wakala wa M-PESA ukiwa na kivuli cha kitambulisho chako na upate SMS 100 BURE!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...