KUMBUKUMBU
BABA JOHN BURTON KIBOPILE:
LEO UMETIMIZA MWAKA MMOJA
TANGU UTUACHE MPENDWA WETU!
UMETUACHIA MAJONZI MAKUBWA.
KIMWILI HAUPO NASI LAKINI KIROHO UPO NASI! TUNAKUKUMBUKA KWA UCHESHI NA MENGINE MENGI ULIYOYAFANYA WAKATI WA UHAI WAKO. UNAKUMBUKWA SANA NA MAMA, WANAO WOTE WAJUKUU NA VITUKUU NA NDUGU WOTE.
NASI TUNAZIDI KUKUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUKUPA PUNZIKO LA MILELE.NA KUKUANGAZIA MWANGA WA MILELE DAIMA.
- AMEN


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...