Familia ya Muhando wa mwananyamala inapenda kutoa shukrani kwa ndungu,jamaa na marafiki wote mliotukimbilia wakati wa kumuuguza mpendwa wetu Watson Muhando na wakati wote wa msiba/mazishi.
Tumefarijika sana kwa upendo wenu na ushirikiano mliotuonyesha. Tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki.
Tunawakaribisha kwenye misa ya shukrani kesho Ijumaa saa kumi na nusu (4:30pm) katika kanisa la Kristo Mfalme Mwananyamala kisha baadae kwenye mkesha nyumbani kwa mzee Phineas Muhando Mwananyala A.
Bwana alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe.
- Amen.

Lala Salama baba yetu mpenzi. Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi, jina lake lihimidiwe.
ReplyDelete