Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhaj Dk. Mohamed Gharib Bilal, akilihutubia Taifa kwenye Baraza la Eid El Hajj kitaifa lililofanyika leo katika Msikiti wa Simba mbali Tandika Wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. AlHaj. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na kumtakia Eid El Hajj Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Ismail Habibu Makusanya, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj kitaifa lililofanyika leo katika msikiti wa simba mbali Tandika Wilaya ya Temeke Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhaj Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na waumini baada ya kumalizika kwa Sala na Baraza la Eid El Hajj kitaifa lililofanyika leo katika Msikiti wa Simba Mbali Tandika Wilaya ya Temeke Dar es salaam.
Eid Mubarak...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhaj Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na kumtakia salam za Eid El Hajj Mkuu wa Wilaya ya Temeke Chiku Galawa, baada ya kumalizika kwa Sala na Baraza la Eid El Hajj kitaifa lililofanyika leo katika Msikiti wa Simba Mbali Tandika Wilaya ya Temeke Dar es salaam.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ndevu za hinna hizo. Kama Watume Muhammad na babaye Ibrahim.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...