
Katibu Mkuu Mstaafu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Bibi. Mariam J. Mwaffisi akipokea Ngao kutoka kwa Mwakilishi wa Wawatumishi wa Kanda ya Magharibi Bw. Anderson, ikiwa ni Zawadi ya Kumpongeza kwa Kustaafu Utumishi wa Umma. Hafla hii ilifanyika wakati wa Mkutano Mkuu wa Sekta ya Maendeleo ya Jamii, Morogoro wiki hii.Picha na mdau Asteria Muhozya
--
safi sana mama mwafisi. mtu ukifikia wakati wa kustaafu inatakiwa ufanye hivyo. siyo kung'ang'ania madaraka na kuzuia vijana kutumikia taifa. viongozi na watumishi wengine serikalini igeni mfano wa maza,
ReplyDeletehongera sana na pensheni njema