Ankal Mobhale Matinyi, mwandishi mkongwe na mchambuzi wa kisiasa aishiye Marekani, alipotembelea Voice Of Amerika idhaa ya kiswahili jijini Washington DC leo, katika kipindi maalum cha uchaguzi wa Tanzania akiwa ndani ya studios na mtangazaji machachari wa redio hio, Sunday Simba Shomari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Maalim Seif; "Dr Shein ana Mahaba"
    Nilifurahia sana huo utamu wa lugha ambao wengi wetu unatupiga chenga. Nafikiri kwa maneno mengine ina maana ana mapenzi/mapendo na watu.
    Kiswahili safi sana ukikiwezea.
    mbongo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...