MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO
JIMBO: CHILONWA


KUGA PETER MZIRAY,APPT - MAENDELEO
319
1.35%
KIKWETE JAKAYA MRISHO,CCM
19,780
83.68%
SLAA WILLIBROD PETER
CHADEMA
2,439
10.32%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA,CUF
179
0.76%
RUNGWE HASHIM SPUNDA,NCCR-MAGEUZI
25
0.11%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT,TLP
18
0.08%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA,UPDP
18
0.08%
SPOILT VOTES
860
3.64%
TOTALS
23,638
100.00%

MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO
JIMBO: CHILONWA


KUGA PETER MZIRAY,APPT - MAENDELEO
157
0.77%
KIKWETE JAKAYA MRISHO,CCM
17,066
83.64%
SLAA WILLIBROD PETER,CHADEMA
2,702
13.24%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA,CUF
114
0.56%
RUNGWE HASHIM SPUNDA,NCCR-MAGEUZI
10
0.05%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT,TLP
4
0.02%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA,UPDP
7
0.03%
SPOILT VOTES
344
1.69%
TOTALS
20,404
100.00%

Kwa Kuona Zaidi Matokeo Haya

BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. CHILONWA!
    Umenikumbusha kitabu cha SHIDA,
    "Peter of Chilonwa"

    ReplyDelete
  2. Mbona tunatangaziwa tu maeneo ambayo ccm inaoongoza kwanini msitangaze sehemu ambazo vyama vya upinzani vinaongoza. tunaamini maeneo kama Mwanza mjini, shinyanga, Mbeya, Iringa, Arusha, K'njaro, hapa dar sehemu nyingi Slaa anaongoza mnaiba kwanza ndo mtoe matokeo yenu ya kushinda kwa kishindo kama mlivyofanya zanzibar sio.

    ReplyDelete
  3. huna maana michuzi na kampeni zako, umepoteza watu wengi wa maana kwenye blog yako. to be sencere umejishushia hadhi kabisa, mbaya zaidi ambaco hamjui ni kwamba nafasi ya urais mtakayopata ni kama bomu mnalotengeneza za kuwamaliza 2015 na tayari wabunge waliopita ni vichwa kuliko hao wa kwenu ambao ni lundo. so time will tell

    ReplyDelete
  4. Mheshimiwa Issa Michuzi adondoshwa "Mijuu guu,chini kichwa" katika uchaguzi wa udiwani Tegeta.Aambulia nusu kura sawa na 0.0000001% sasa anaona noma kutoa full datas za uchaguzi wa wabunge ktk jiji la DAR.Lol

    ReplyDelete
  5. Tatizo ni lipi kwa matokeo ya Urais? Kwa nini yasiwe yanatolewa pamoja na yale ya wabunge? Si uchakachuaji huo?

    ReplyDelete
  6. NNAVOICHUKIA CCM NI KAMA NNAVOMCHUKIA UYO MKE MWENZANGU ICHO CHUMBA CHA PILI!

    NIKIAMBIWA NICHAGUE CCM AU UKIMWI NTASEMA UKIMWI!!

    NA CKU WAPINZANI WAKIINGIA MADARAKANI ATA BAADA YA MIAKA 20 NAOMBA VIONGOZI WOTE WA CCM WACHAPWE VIBOKO !

    ReplyDelete
  7. Unaweza kuchelewesha nia ya watu lakini huwezi kuua nia na mwisho wake watu watashinda. 2015 ni kiama kwa CCM kwani vijana ndio tutakaoleta mabadiliko katika nchi hii. Aluta kontinua.

    ReplyDelete
  8. Hiyo Chilonwa mbona iko mara mbili...which is which?

    ReplyDelete
  9. Masikini Watanzania wanaopenda vitu vya bure ndiyo waliompa slaa ona wameingizwa mkenge. Sasa nyie mnalilia nini? Mbona kunasehemu kama Bukoba Mjini, Ilemela Arusha mjini na sehemu chache za watu wasio na akili and jobless Slaa ameshinda lakini the national picture is obvious watanzania wengi waelewa wamestukia ahadi hewa na matusi yao na pepo wanaowaongoza . JK OYEE CCM OYEE. Ya 2015 tungoje tufike huko.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...