ILI KUPATA MAJEDWALI YA MATOKEO YA KURA ZA URAIS YA UCHAGUZI MKUU BARA NA VISIWANI BOFYA:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Brother Michuzi,
    Mimi nafikiri kila mtu anaelewa kwamba JK atashinda. Shida yetu tulio wengi ni matokeo ya WABUNGE..

    Tafadhali tusaidie

    ReplyDelete
  2. Percent ya ushindi inazidi kupungua. Si walisema watashinda kwa aslimia 90. jana ilikua 80% leo wanasmea ni 70% mweee wajue watu wameamka...

    na uzuri ni kuwa wabunge waliotoka vyama vingine ni vichwa kweli saa hamna cha CCM ni bunge la watanzania...Naona kutakua hamna kulala bungeni na kusubiri kupokea posho tu. Na hii ni ticket wamejinunulia ya kuondioka 2015 hakuna cha CCM wala nini...

    Yes we can without fighting or whatsoever.. Wabibi vijijini walikua wanaogopa kupigia watu wengine wakijua kutakua na fujo sasa miji mingine iliyochagua viongozi wengine mbona hakuna fujo..Hii itakua a lesson to all next election itakua mwaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Michuzi tulia na blogu hii hii. Ukihamahama na mambo mengine tutakutosa. Tulia hapa hapa.

    Halafu, washikaji unajua hawa wabunge wa upinzani bungeni watawasha moto na Watanzania wataamini kuwa mambo yanawezekana.

    Mdau kasema hapo juu kuwa vibibi vilikuwa vinaogopa, ni kweli na sasa vitashitukia deal. Vinajua kuwa CCM noma ila vinaogopa kibano kama Kenya.

    Ehe Mungu isaidie CCM iboronge, iwaweke mafisadi kwenye wizara na uspika wa Bunge ili Watanzania waamke zaidi.

    Mungu msaidie JK avurunde kishikaji ili Tanzania ikomboke.

    Wasalamu.

    Michuzi niwie radhi shehe, weka hivyo hivyo.

    ReplyDelete
  4. NEC wanafanya kosa la kumsogeza Dr Slaa kuwa nafasi ya 3 katika kura za rais! Huo ni uchakachuaji mtupu. Ona idadi ya wabunge wa CHADEMA na ulinganishe na kura anazogawiwa Dr Slaa!! Tusijitakie matatizo jamani. Kila mtu apewe haki yake na TUSILAZIMISHE!

    ReplyDelete
  5. NEC ITUAMBIE KINACHOWAZUIYA KUTANGAZA MATOKEO YA MAENEO CHADEMA WALIKOSHINDA! KUNA MKAKATI GANI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...