Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana hivi sasa ni kwamba Mgombea Ubunge kwa jimbo la Ubungo na Naibu katibu mkuu kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. John Mnyika ametangazwa rasmi kuwa ndiye Mbunge mteule wa jimbo hilo kwa kuibuka na kura 66,743 huku mpinzani wake ambaye ni mgombea wa chama cha CCM Hawa Ngumbi ambaye amepata idadi ya kura 50,554.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. Pongezi nyingi kwa ushindi mkubwa, pongezi za pekee kwa kuto kata tamaa alipokosa ushindi mwaka 2005. watanzania tujifunze. inawezekana, tuwe na nia moja ya kuleta mabadiliko!! Ila nimeamini kuwa bila kulinda kura matokeo yasingekuwa hivi.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Mh. John Mnyika.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. Ankal ulikuwa wapi muda wote? Tupe latest please tunajua kapita tokea jana. Acha kutuwekea zilizopendwa.

    ReplyDelete
  4. hongera sana bwana mdogo, endeleza mapambano Bungeni, walikuibia 2005 sasa umepata haki yako

    ReplyDelete
  5. Kaka Michuzi, this is the best news yet. I was really waiting for this piece of good news. Now i can really say the election was fair. CCM deserves to lose this seat, i can't be more correct to say that the change has come to Tanzania. I cant applaude the mass for voting the right people but i will be eager to see what these people can do for our country in the next five years. Change is inevitable, none can resist it anymore.

    This election has been so moving and as i can tell most things will change. Go Mnyika, you deserve it, we wanted you to take over since 2005, its just that things couldn't happen then, it was just delayed, make things happen for us buddy.
    I Love Tanzania, Tanzania is my everything, we always uphold democracy, need we show more??????
    The change is here, its no longer coming, it has arrived.

    Michuzi, i appreciate the work you do for informing us on this. Cheers Misupuu.

    ReplyDelete
  6. nimeamini, sauti ya watu ni sauti ya Mungu! hata dada Halima Mdee kachukua Kawe, fisadi huko rombo ameanguka pia!

    ReplyDelete
  7. Kalume Kenge. UghaibuniNovember 02, 2010

    Jiandae na semina elekezi kule Ngurndoto itakayofanyika mara tu baada ya kuapishwa Rais

    ReplyDelete
  8. TUNASUBIRI KUSIKIA KUTOKA BUMBULI, ANKO TUPE MAENDELEO YA HUKO.

    ReplyDelete
  9. Kama kweli Michuzi unafanya kazi kwa ethics weka hii:
    http://www.mwananchi.co.tz/component/content/article/37-tanzania-top-news-story/6076-shein-rais-zanzibar.html

    ReplyDelete
  10. Hongera sana kaka. Wamejitahidi kuchakachua lakini hayakuchakachulika. Mungu amesikia kilio chako cha last time.
    CHADEMA JUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  11. Hongera Mnyika,Kipekee nimesikitishwa na yaliyojitokeza UBUNGO NA NYAMAGANA tume ta taifa ya uchaguzi - (NEC) inabidi kuwa waangalifu kwani damu iliyomwagika mwanza ni matokeo ya kutokuwa makini, na kufuata taratibu.
    HESABU KURA NA TANGAZA MATOKEO KAMA SISI TULIVYOAMUA, MSIJARIBU KUAMUA KWA NIABA YETU.....
    Hope its a lesson and we they have to be careful in future.

    ReplyDelete
  12. Hongera mnyika.kweli haki ya mtu haizuiliwi hata kwa vifaru, tumekesha saa 72 kuhakikisha haki inapatikana. Tunataka vijana tunaoumia nao umasikini wa nchi yetu.Nanyi mnaojifanya kufungua matawi yenu nje ya nchi ili kujipendekeza kuchukuwa nchi hii mnajisumbua.viongozi wetu wa leo na kesho ni kina mnyika si ninyi wakimbizi.Mnyika hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  13. CCM walikosa mwakilishi maana huyo mama hawa nghumbi mbona sio mwanasiasa kabisa .

    ReplyDelete
  14. huyo mama hata hizo kura hapo kuna hujuma na uchakachuaji umefanyika maana si mwanasiasa..lea familia mama

    ReplyDelete
  15. bora tutahema mana kuna shosti huyo alishaanza kujishaua ooh mama waziri sijui mbunge akuuu CHADEMA OYEE

    ReplyDelete
  16. hawa uache ubahili ubungo watu wana njaa ya pesa so muhimu kujichakachua kwenda mbele

    ReplyDelete
  17. itabidi JK akuchakachue tena utapewa hata ukuu wa wilaya kinondoni.ila pole sana

    ReplyDelete
  18. the problem is critically she was not a typo politician.she's arbitrary angry and sharp minded on reacting.

    ReplyDelete
  19. Yes we can!!! It is time now ku-clear all the dirties from the baby boomers! Vijana twendeni mjengoni tukawaonyeshe wazee what maendeleo looks like. Haijalishi kama wewe ni chama gani as long as unauchungu na taifa lako kemea ufisadi kwanguvu zote. Twende tukafanye kazi. Tanzania Hoyeee!!!

    ReplyDelete
  20. Kwa hali hii ambayo CCM inashindwa katika maeneo ya mijini,inaashiria kwamba CCM ipo njiani kuungana na kina KANU.Chaguzi zijazo 2015 na 2020 CCM itabwagwa kiroho mbaya,Watu wameichoka na wamechoka kudanganywa.

    ReplyDelete
  21. TUNAJUA SASA TUMEINGIZA AKINA MNYIKA 50 HONGERA DEMOKRASIA

    ReplyDelete
  22. TURUDISHIENI HESHIMA YA NCHI YETU! HONGERA VIJANA, MWAKA WA KUBEBWA NA BABA, UNCLE, BABU, RAFIKI WA BABA UMEPITA. TANZANIA INA WENYEWE NA WENYEWE NDIO SISI! HAKUNA KUPEANA VYEO KWA KUJUANA ANY MORE, THIS IS OUR COUNTRY! THIS IS OUR COUNTRY!! MAFISADI NA WATOTO WAO, HESABUNI MIAKA MITANO TU, ILIYOBAKI, LAKINI TUTAFIKA, TUMETOKA VITI 18 BUNGENI NA SASA TAYARI TUKO 51, TUNAKUJA, WE ARE COMING. CHANGE WILL COME.CHANGE IS COMING. MSITUANGUSHE JAMANI! WE ARE COMING! CONGRATULATIONS!!!!! I AM SO HAPPY.

    ReplyDelete
  23. Tofauti ya kura hapo ni zaidi ya 16,000 sielewi ni kwanini huyu mwenyekiti wa uchaguzi alikuwa anachelewesha matokeo kwa kiasi hicho
    kwani ndio chanzo cha fujo na kupoteza mali. Hapo hata kuchakachua haiwezekani!!

    Mdau A. Kaskazini

    ReplyDelete
  24. Hongera sana mbunge wetu mpya, Huu ni mwanzo wa mabadiliko

    ReplyDelete
  25. YAP NOW THIS IS THE TRUE "NGUVU MPYA , HARI MPYA"

    ReplyDelete
  26. msimamo wa viti vya wabunge kufikia leo 02/nov/2010 jioni:
    Viti vya bunge la muungano vilivyo nyakuliwa na wapinzani:
    Bara 29 + Zanzibar 22 = jumla 51

    ReplyDelete
  27. PETER NALITOLELANovember 02, 2010

    SHIKAMOO UNCLE MICHUZI.....
    HUU NI MWAKA WETU WABEBA BOX SUGU KAPITA MBEBA BOX WA NEW YORK NA JANUARY MAKAMBA FORMER MBEBA BOX WA MINESOTA NA TODAY MNYIKA FORMER MBEBA BOX, HATA VICENT NYERERE ALIKUWA ANABEBA BOX SIJUI UALABUNI KAMA SIKOSEI NI DUBAI AMA CHINA MIMI NINA BEBA BOX CANADA HAPA ONTARIO, THIS IS CUMBERSOME INDEED, SHOWING MIND GROWING OF PEOPLES AND THEIR DECENCY AND HUMANITY.

    ReplyDelete
  28. is time to walk the talk! election is over. Usije ukaja na sera za kuvaa vizuri 2 Bungeni, tumechoka na matatizo huku kitaa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...