Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana hivi sasa ni kwamba Mgombea Ubunge kwa jimbo la Ubungo na Naibu katibu mkuu kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. John Mnyika ametangazwa rasmi kuwa ndiye Mbunge mteule wa jimbo hilo kwa kuibuka na kura 66,743 huku mpinzani wake ambaye ni mgombea wa chama cha CCM Hawa Ngumbi ambaye amepata idadi ya kura 50,554.
Home
Unlabelled
Mh. John Mnyika achukua Ubungo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Pongezi nyingi kwa ushindi mkubwa, pongezi za pekee kwa kuto kata tamaa alipokosa ushindi mwaka 2005. watanzania tujifunze. inawezekana, tuwe na nia moja ya kuleta mabadiliko!! Ila nimeamini kuwa bila kulinda kura matokeo yasingekuwa hivi.
ReplyDeleteHongera sana Mh. John Mnyika.
ReplyDelete(US Blogger)
Ankal ulikuwa wapi muda wote? Tupe latest please tunajua kapita tokea jana. Acha kutuwekea zilizopendwa.
ReplyDeletehongera sana bwana mdogo, endeleza mapambano Bungeni, walikuibia 2005 sasa umepata haki yako
ReplyDeleteKaka Michuzi, this is the best news yet. I was really waiting for this piece of good news. Now i can really say the election was fair. CCM deserves to lose this seat, i can't be more correct to say that the change has come to Tanzania. I cant applaude the mass for voting the right people but i will be eager to see what these people can do for our country in the next five years. Change is inevitable, none can resist it anymore.
ReplyDeleteThis election has been so moving and as i can tell most things will change. Go Mnyika, you deserve it, we wanted you to take over since 2005, its just that things couldn't happen then, it was just delayed, make things happen for us buddy.
I Love Tanzania, Tanzania is my everything, we always uphold democracy, need we show more??????
The change is here, its no longer coming, it has arrived.
Michuzi, i appreciate the work you do for informing us on this. Cheers Misupuu.
nimeamini, sauti ya watu ni sauti ya Mungu! hata dada Halima Mdee kachukua Kawe, fisadi huko rombo ameanguka pia!
ReplyDeleteJiandae na semina elekezi kule Ngurndoto itakayofanyika mara tu baada ya kuapishwa Rais
ReplyDeleteTUNASUBIRI KUSIKIA KUTOKA BUMBULI, ANKO TUPE MAENDELEO YA HUKO.
ReplyDeleteKama kweli Michuzi unafanya kazi kwa ethics weka hii:
ReplyDeletehttp://www.mwananchi.co.tz/component/content/article/37-tanzania-top-news-story/6076-shein-rais-zanzibar.html
Hongera sana kaka. Wamejitahidi kuchakachua lakini hayakuchakachulika. Mungu amesikia kilio chako cha last time.
ReplyDeleteCHADEMA JUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!
Hongera Mnyika,Kipekee nimesikitishwa na yaliyojitokeza UBUNGO NA NYAMAGANA tume ta taifa ya uchaguzi - (NEC) inabidi kuwa waangalifu kwani damu iliyomwagika mwanza ni matokeo ya kutokuwa makini, na kufuata taratibu.
ReplyDeleteHESABU KURA NA TANGAZA MATOKEO KAMA SISI TULIVYOAMUA, MSIJARIBU KUAMUA KWA NIABA YETU.....
Hope its a lesson and we they have to be careful in future.
Hongera mnyika.kweli haki ya mtu haizuiliwi hata kwa vifaru, tumekesha saa 72 kuhakikisha haki inapatikana. Tunataka vijana tunaoumia nao umasikini wa nchi yetu.Nanyi mnaojifanya kufungua matawi yenu nje ya nchi ili kujipendekeza kuchukuwa nchi hii mnajisumbua.viongozi wetu wa leo na kesho ni kina mnyika si ninyi wakimbizi.Mnyika hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
ReplyDeleteCCM walikosa mwakilishi maana huyo mama hawa nghumbi mbona sio mwanasiasa kabisa .
ReplyDeletehuyo mama hata hizo kura hapo kuna hujuma na uchakachuaji umefanyika maana si mwanasiasa..lea familia mama
ReplyDeletebora tutahema mana kuna shosti huyo alishaanza kujishaua ooh mama waziri sijui mbunge akuuu CHADEMA OYEE
ReplyDeletehawa uache ubahili ubungo watu wana njaa ya pesa so muhimu kujichakachua kwenda mbele
ReplyDeleteitabidi JK akuchakachue tena utapewa hata ukuu wa wilaya kinondoni.ila pole sana
ReplyDeletethe problem is critically she was not a typo politician.she's arbitrary angry and sharp minded on reacting.
ReplyDeleteYes we can!!! It is time now ku-clear all the dirties from the baby boomers! Vijana twendeni mjengoni tukawaonyeshe wazee what maendeleo looks like. Haijalishi kama wewe ni chama gani as long as unauchungu na taifa lako kemea ufisadi kwanguvu zote. Twende tukafanye kazi. Tanzania Hoyeee!!!
ReplyDeleteKwa hali hii ambayo CCM inashindwa katika maeneo ya mijini,inaashiria kwamba CCM ipo njiani kuungana na kina KANU.Chaguzi zijazo 2015 na 2020 CCM itabwagwa kiroho mbaya,Watu wameichoka na wamechoka kudanganywa.
ReplyDeleteTUNAJUA SASA TUMEINGIZA AKINA MNYIKA 50 HONGERA DEMOKRASIA
ReplyDeleteTURUDISHIENI HESHIMA YA NCHI YETU! HONGERA VIJANA, MWAKA WA KUBEBWA NA BABA, UNCLE, BABU, RAFIKI WA BABA UMEPITA. TANZANIA INA WENYEWE NA WENYEWE NDIO SISI! HAKUNA KUPEANA VYEO KWA KUJUANA ANY MORE, THIS IS OUR COUNTRY! THIS IS OUR COUNTRY!! MAFISADI NA WATOTO WAO, HESABUNI MIAKA MITANO TU, ILIYOBAKI, LAKINI TUTAFIKA, TUMETOKA VITI 18 BUNGENI NA SASA TAYARI TUKO 51, TUNAKUJA, WE ARE COMING. CHANGE WILL COME.CHANGE IS COMING. MSITUANGUSHE JAMANI! WE ARE COMING! CONGRATULATIONS!!!!! I AM SO HAPPY.
ReplyDeleteTofauti ya kura hapo ni zaidi ya 16,000 sielewi ni kwanini huyu mwenyekiti wa uchaguzi alikuwa anachelewesha matokeo kwa kiasi hicho
ReplyDeletekwani ndio chanzo cha fujo na kupoteza mali. Hapo hata kuchakachua haiwezekani!!
Mdau A. Kaskazini
Hongera sana mbunge wetu mpya, Huu ni mwanzo wa mabadiliko
ReplyDeleteYAP NOW THIS IS THE TRUE "NGUVU MPYA , HARI MPYA"
ReplyDeletemsimamo wa viti vya wabunge kufikia leo 02/nov/2010 jioni:
ReplyDeleteViti vya bunge la muungano vilivyo nyakuliwa na wapinzani:
Bara 29 + Zanzibar 22 = jumla 51
SHIKAMOO UNCLE MICHUZI.....
ReplyDeleteHUU NI MWAKA WETU WABEBA BOX SUGU KAPITA MBEBA BOX WA NEW YORK NA JANUARY MAKAMBA FORMER MBEBA BOX WA MINESOTA NA TODAY MNYIKA FORMER MBEBA BOX, HATA VICENT NYERERE ALIKUWA ANABEBA BOX SIJUI UALABUNI KAMA SIKOSEI NI DUBAI AMA CHINA MIMI NINA BEBA BOX CANADA HAPA ONTARIO, THIS IS CUMBERSOME INDEED, SHOWING MIND GROWING OF PEOPLES AND THEIR DECENCY AND HUMANITY.
is time to walk the talk! election is over. Usije ukaja na sera za kuvaa vizuri 2 Bungeni, tumechoka na matatizo huku kitaa!
ReplyDelete