Waziri Mkuu aliyemaliza muda wake Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho Dk. Wilbrod Slaa walipokutana nje ya ukumbi wa Pius Msekwa bungeni jana mjini Dodoma. Mh. Pinda alikwenda kujumuika na wabunge wenzake wa CCM waliokuwa na kikao cha kumteua mgombea wa Naibu Spika kwa tiketi ya chama chao. Picha na Edwin Mujwahuzi wa Mwananchi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...