Home
Unlabelled
MOTIVATION FOR TODAY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huku ndiko Kenya dogo alikujifunzia kiswahili, naona mliouliza kuwa alijifunzia wapi kiswahili mmepata jibu.
ReplyDeleteWengi wa wasichana na wanawake wa bongo huwa wanaangalia kwanza kama unacho kwa maana ya pesa. Ni pesa tu. Ukiwa huna pesa unaoneka kama fala fulani hata kama unavipaji vinavyoonyesha kuwa utakuwa na mafanikio huko mbele ya safari. Hawaangalii hilo. Wanachotaka wao ni sasa-THE NOW. Kichekesho ni kwamba ukiishafanikiwa baada ya kuwa amekuachana miaka mingi huwa anaanza kujisogeza karibu nawe ili muanze upya. Unafiki mtupu. Na huu nao ni ufisadi.
ReplyDeletepicha inanifariji sana mara baada ya kutoka kubeba box, mpaka kuwa tajiri sasa.pia hasa mamii alivyokuwa ananifarija sasa tunatembea kwenye miguu minne. thanks michuzi
ReplyDeleteOk ladies, just hang on! your dude could be a future president!
ReplyDeleteShe knew by intuition.
ReplyDeleteA good motivation.................but kindly display our local prominent figures this sort of evidences......do we have one here (I mean hapa Bongo......I will buy you a 1,000,000sqm plot between Kariakoo and Posta mpya......If you can show only one......
ReplyDeleteOne of the most inspiring photos!
ReplyDeleteWacha kuchapia, photoshop hiyo. US are using Lenft Hand Drive - the beetle (bito) in the foto is not! he heee!
ReplyDeleteI agree what a man needs is a woman....as quoted on the 'thought of today'. Japokuwa Michel alikuwa hajui kama Obama siku moja angekuwa Rais, lakini mimi nadhani ni mapenzi toka pande zote mbili na sio Michel peke yake, I strongly believe hata Michel naye anadream pia and I believe Obama has always been there for her ndio maana wapo pamoja hadi sasa. Kwa hivyo for couples/marriages success of a relationship/marriage is the input from both parties involved na sio one sided.
ReplyDeletelo,wametoka mbali,acha wale matunda ya kuvumiliana na kupendana kwa dhati
ReplyDeleteeh na obama amefanya ivo ivo kwa mkewe, umewahi kusikia ana nyumba ndogo uyo??
ReplyDeletemapenzi ya kuheshimiana na kuthaminiana katika level moja ndio inakua ivo sio mimi niangaike juani siku ya kula kivulini unaenda vuta dogo dogo
What year was this black and white photo taken 1800? They have been together less than 30 years yet you produce the Black and white photo.Come again.
ReplyDeleteHowever,its good inspiration for everybody.
i hope she sticks with him when he retires in 2012... NOBAMA
ReplyDeleteMichu, umenikumbusha kitu, nilipokuwa idara ya mahakama niliwahi kuhamishiwa maeneo ya wilayani mke wangu siku moja akaniambia "ungekuwa na maana kwao wasingekuleta huku", nikajua 'sina mke'.
ReplyDeleteNkyabo _ Bongo
THE PIC IS GREAT, LAKINI HAYO MAELEZO HAPO CHINI NI MTAZAMO WA KIZAMANI MNO, OUT OF DATE, UNAZUNGUMZIA KUVUMILIA KAMA VILE MICHEL NI SECOND CLASS CITIZEN, YAANI YEYE HANA DREAMS, HAHIATAJI KUHESHIMIWA NA KUPENDWA KWENYE RELATION?, YAANI KAZI YAKE NI UVUMILIVU NA LEOA NAKULA MATUNDA, HEBU NENDA KATAFUTE HISTORIA YAKE ILI UJUWE YEYE NI NANI, ELIMU YAKE, NA CONTRIBUTIONS ZAKE KATIKA JAMII, AMBAZO TUNAZIONA HADI LEO , HEBU JARIBUNI KWENDA NA WAKATI!!!! SAMAHANI BWANA MICHUZI, NA WENYE COMMENTS ZA WANAWAKE WA BONGO HAWAJUI MAPENZI WANAFUATA MALI TU
ReplyDelete!!! HEBU TUULIZENI SISI TULIOPATA NAFASI TA KUPENDANA NA WALIOSOMA NA KAZI ZAO NA HAWATEGEMEI WAUME BALI WAPO KWENYE MCHANGO WA PAMOJA KUENDELEZA JAMII NA KUWA KWENYE RELATION YENYE USAWA , HESHIMA MAPENZI YA KWELI BILA KUJALI JINSIA!!!
MDAU NUTRO, KANADA
msitubebeshe mizigo ya ku stick by a man, wakati wanaume waliowengi vimeo...all i see in that pic is a woman in love...na kwa taarifa yenu hata sisi tunahitaji a man to stick by us while we make our dreams come true...mimi kimeo sitaki...dreams dreams nini? embu huko!
ReplyDeleteThe Obamas sio wa kwanza! Wako wengi Tanzania (ingawa hawakuwa Rais kama Obama) ambao wame(li)pendana na kuishi pamoja kwa miaka mingi hadi kufa!
ReplyDeletekikieleweka sawa lakini kisipoeleweka we utakaa tu unangoja kufa kilo mbili? acheni hizo of course yeye amebahatisha huyo mwema wengine vimeo hata uvumilivu unakushinda
ReplyDeleteAnnon Nov 18 06:21Pm inaonyesha uko na hali mbaya sana mtoto wa kike wewe! Hatuwabebeshi mizigo, ila wengi wengi ni vicheche, mnajifananisha na wengine badala ya kuangalia maisha yako. Matokeo yake ndoa zinavunjika na watoto wanahaha bila sababu. Huyu mwanamke angekuwa kicheche labda asingegusa Ikulu, au labda pia Obana naye asingegusa Ikulu. Point ni kwamba, wanawake tulieni na waume zenu. Tafuteni namna ya kufurahia maisha, lakini kwanza kwa kuwafurahisha waume zenu. Ukiweza kumfurahisha mmmeo ina maana na wewe una furaha na maisha yanakwenda hivyo. Ukishindana na mme hata siku moja hutaweza. Mwanamme ni mme na Mwanamke ni mke; huwezi changanya hapo!
ReplyDeleteThanks watoa maoni wote, Hapo walipofika leo ni katika kuvumiliana na kuheshimiana wote wawili, kama mtoa maoni mmoja alivyosema, hata mwanamke anahitaji kuvumiliwa na kusikilizwa na ndiyo maanaa wamefika hapo walipo leo, mume asingekuwa msikivu I don't think kama wangekuwa WHITE HOUSE LEO. I know this Black America ladies very well, most of them is DO WHAT I WANT AND I TAKE MY WAY SAME TO THEIR MEN. So, heshima between you couples can make a different, we need to learn from this two young couples and we will reach our dreams, usiangalie sura au jina 9 mtoto wa nani) angalia future iside her his heart, you will achieve and receiv. i like Obama he makes me strong kwa kweli and he makes me believe in my self and keep pushing till I I meet the limit.
ReplyDeleteHakuna zawadi kubwa katika maisha kama mapenzi ya kweli yaliyojaa upendo, heshima, uaminifu na umoja.
ReplyDelete