HUU NDIO MSIMAMO WA MATOKEO YA UBUNGE KATIKA MAJIMBO YA UCHAGUZI 112 KATI YA 239 YALIYOGOMBEWA.
1. CCM - VITI 73
2. CHADEMA - VITI 20
3. CUF - VITI 15
4. WENGINEO - VITI 5
TUTAENDELEA KUWAFAHAMISHA
MATOKEO KADRI YANAVYOTOKA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Thanks kutuhabarisha ankal Michuzi,
    Mwipopo,
    USA

    ReplyDelete
  2. Napenda kuuliza mara nyengine kama haya ni matokeo ya nchi nzima au ya Tanzania bara tu.

    ReplyDelete
  3. CCM kufa hawakufa lakini cha moto wamekiona. Never underestimate the power of "we the people". Kura za maoni sijui mlikua mnatoa kutaste maji kuona yamefika wapi na watu wenu wakawaeleza ukweli mkaacha kuwasikiliza. Next time do the same thing muone kura mtakazopata.

    Just imagine hizo hela za campain zote hizo mlizotumia na kura ndio hizo tu mmpepata. Je hao wengine wangekua na hela za kucampain kama nyie mngepata hela nagapi.

    Kwanza tubadilishe katiba ili kuwe na midterm election ya wabunge wasisettle for five long years. It think they are getting to easy..

    ReplyDelete
  4. Matusi na uongo wa chadema haukuwafikisha popote. chadema watafute viongozi ambao hawatakuwa watukanaji kama yule mgombea wao wa temeke ambao sisi wanatemeke tumemtupilia mbali kwa kuwa hata supporters wengi wa chadema walipata kichefuchefu kwa matusi yake na kuvipigia kura vyama vingine vya upinzani. Pili, waache kutoa ahadi zisizoingia akilini, kama vile kutoa huduma zote bure na kuuza mfuko mmoja wa cement chini ya gharama za uzalishaji na transport na eti kupunguza kodi zote wakati huo huo. Tatu, viongozi wake wakemee zile sms za kidini zilizokuwa zinawatukana waislamu; kama tuivyoona segerea, sms hizo zilikuwa downloaded na kuchapishwa katika makaratasi yaliyosambazwa misikiti mingi ya jimbo la segerea siku ya ijumaa na kupelekea cuf kupata kura 19,000 jimboni humo. Nne, kuna vijiji vingi nchini ambako chadema hakikuweko kabisa. Tano, chadema wakome kutumia vijana wahuni, vibaka na wavuta bangi kufanya fujo za kijinga kama vila kuwashambulia wapita njia ambao walikuwa hawahusiki na uchaguzi. ukweli ni kuwa ushindi huu ni ushindi dhidi ya chuki, uongo, uchu wa madaraka na matusi ya chadema. Mangelepaa; msemakweli mpenzi wa Mungu.

    ReplyDelete
  5. Sasa labda mzee wetu mheshimiwa Slaa anaweza kupata muda wa kuoa hatimaye.

    ReplyDelete
  6. We anon wa tatu, Chadema wametumia pesa nyingi zaidi ya CCM. Matajiri wengi/wote wa kichaga wameckichangia Chadema. Please get your facts right dude!!!!

    ReplyDelete
  7. Wewe Wed Nov 03, 07:49:00 AM unasema Chadema watukanaji hebu tueleze neno "wakome" kama sio tusi, au na wewe ni kibaka mkamata vibaka ili usionekane kuwa ni mmojawao? Hata hivyo ujue ndani ya CCM wamo waliouwana huko Mwanza kwa ajili ya kugombea kuteuliwa ndani ya chama, sasa sijui kama ndio hali halisi ya wanaccm wote au ni tukio kati ya jamii? Jaribu kutokuwa na ghadhabu unapoieleza jamii yenye watu wenyeueleo.

    ReplyDelete
  8. Mmmmh maneno yanakutoka tu wee Mama, si bure, umeshachakachuliwa pamoja na mapenzi yako kwa Mafisadi CCM

    ReplyDelete
  9. Habari Mr. michuzi, hayomatokeo sio kweli badilisha.
    Jimbo la Iringa Mjini - UBUNGE: Peter Msigwa (CHADEMA) 17,740 Monica Mbega (CCM) 16,919. CHADEMA wamefanikiwa... http://fb.me/GHLF2PDn
    9:47 AM Nov 1st via Facebook
    Habari zilizotufikia ni kwamba Mbeya inarindima mabomu ya machozi huko... Demokrasia inataka pindishwa #Uchaguzi #Tanzania
    9:40 AM Nov 1st via Facebook
    Mpaka sasa matokeo ya #Uchaguzi jimbo la Mbeya mjini hayajatangazwa na kuna umati mkubwa sana wa Wananchi... http://fb.me/zAEBohm3
    9:13 AM Nov 1st via Facebook
    Jimbo la Ilemela - UBUNGE: Hyness David Kiwia (CHADEMA) 31,200+ Antony Diallo (CCM) 29,830. Jimbo limekuja kwetu CHADEMA #Uchaguzi #Tanzania
    8:52 AM Nov 1st via Facebook
    Ilemelaaaaaaaaaaaa!!!!!! PEOPLEEEEEEEEEES.... #Uchaguzi #Tanzania
    8:36 AM Nov 1st via Facebook
    Jimbo la Nyamagana - Ezekiah Wenje (CHADEMA) 38,171 Lawrence Masha (CCM) 27,883. CHADEMA! #Uchaguzi #Tanzania
    7:58 AM Nov 1st via Facebook
    Jimbo la Nyamangana - CHADEMA 38,171 CCM 27,238. Nguvu ya Umma Imeongea! Peopleeeeees......... #Uchaguzi #Tanzania
    7:53 AM Nov 1st via Facebook
    Maswa Magharibi - UBUNGE: John Shibuda (CHADEMA) 17,075 Simon Rober (CCM) 17,014. Nguvu ya Umma!!! #Uchahguzi Tanzania
    7:51 AM Nov 1st via Facebook
    Maswa Mashariki: Sylvester Kasulumbayi (CHADEMA) 17,459 Peter Bunyongoli (CCM) 12,135. Jimbo limekuja kwetu CHADEMA #Tanzania #Uchaguzi
    7:48 AM Nov 1st via Facebook
    Jimbo la Meatu - UBUNGE: Meshack Opulukwa (CHADEMA) 13,850 Salum Khamis (CCM) 12,824. Chadema tumechukua jimbo. #Uchaguzi #Tanzania
    7:24 AM Nov 1st via Facebook
    Arusha Mjini - UBUNGE: Godbless Lema (CHADEMA) 56,569 Batilda Burian (CCM) 37,410 #Tanzania #Uchaguzi. Nguvu ya Umma imeongea!
    7:22 AM Nov 1st via Facebook
    Arusha Mjini: UBUNGE: Godbless Lema (CHADEMA) 56569 Batilda Burian (CCM) 37,410 #Tanzania #Uchaguzi
    7:20 AM Nov 1st via Facebook

    ReplyDelete
  10. hawa jamaa bwana eti ccm chadema
    hv Michuzi umeishiwa coment kaka. nyie mnaona kuna mtu hapo anae taka kutengeneza nchi hua haongei hivyo anaenda msituni akirudi mtamjua sio bla bla eti mnipe kura
    nikale na familia yangu.ANATAKIWA ATOE ODA TU. SITAKI KUONA MTU ANAINGIA NA DOLA NDANI YA NCHI. SELIKALINI NATAKA CAROLA TU BARABARA LAMI KOTE HII NI PROJECT YA MWAKA MMOJA. HAWA WENGINE WENYE NGUVU (VIJANA) NATHANI WAENDE KTK MAHAMBA YA MIWA NA MASHAMBA YA UMWAGILIAJI, SITAKI KUONA JOBLES HAPA TOWN. SELIKALI ITAWALIPA WOTE
    SITAKI KUONA KITU FEKI TOKA KOKOTE
    MAJI SAFI VIJANA WATACHIMBA MITARO ILI TUWEKE MABOMBA TOKA SIMBA PLASTIKI KWA AJILI YA MAJI SAFI KOTE SITAKI KUONA JENGO AMBALO LIMEZUIA PARKING BILA PLANE TOWN. JENGO LISILO NA FAIDA LITOLEWE MARA MOJA NAFANYA HIVI KWA FAIDA YA WATANZANIA WA SASA ILA ZAIDI KWA WAJAO, NYIE WA SASA HAMNA KITU WAVIVU MNO.KILA SHULE KABLA YA KUITUMIA IWE NA KILAKITU. NCHI MARAFIKI TUNAOMBA MTUPELEKEE UMEME KATIKA SHULE ZOTE SISI TUTAWAPA NAFASI YA KUANGALIA WANYAMA SERENGETI MIAKA 10 BURE NA WEWE KAKA MICHUZI LAZIMA NIKUPE KAZI MBABADALA MIAKA MITATU MAANA SITAHITAJI WACHANGIAJI TOKA NJE YA TANZANIA AU EAST AFRICAN. WA ULAYA SIWATAKI MAANA WOTE HAMNA KITU MNAKIMBILIA ULAYA WAKATI MNA KWENU HATA UKO KULIKUWA HIVI HIVI WATU WALIKOMAA, MLISOMESHWA BURE ILA MNAIKIMBIA NCHI NJOONI TUBORESHE,
    MNAMWACHIA KIKWETE TATIZO HAWAWEZI WANAHELA MNO HAWA, NANI ATAREKEBISHA KAMA MMEKIMBIA KWENU.
    HOME IS THE BEST NYIE MNAPENDA UTUMWA POA. MICHUZI NIWEKE MAPEMA USINIBANIE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...