Ankal Michuzi,

Mtoto Patrick Vieira Kobole, jana alipata cheti cha Elimu ya Awali , katika Shule ya African Nursery School,

Mwakani 2011, ataanza Elimu ya msingi.

Wazazi tunamtakia mafanikio mazuri katika masomo yake.

Hongera Patrick .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Duh mtoto amekuwa haraka kinoma.Si mwaka juzi uliweka picha ya bd akiwa anatambaa,sasa anaonekana ameshaanza kukimbiza maringi.Excellent work parents.

    ReplyDelete
  2. Hongera Patrick.


    Mjomba.
    US Blogger

    ReplyDelete
  3. hee hongera sana totoo kwa kuvuka hatua ya awali ni mwanzo mzuri huo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...