JK akimkabidhi Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Anne Makinda bahasha yenye jina la anayetarajiwa anayetarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania ambalo anatarajiwa kulitangaza bungeni jioni hii. Tuvute subira wadau....



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. nimeisha mjua wazir mkuu ni mizengo kayanza pinda, majina yote magum sana. lakin msifiki lile igizo la mizengwe hii ni mizengo.

    ReplyDelete
  2. nasikia pinda karudi

    ReplyDelete
  3. mpe mzee wetu mizengo pinda amalizie ngwee iliyobaki.

    ReplyDelete
  4. Michuzi usiibanie nahii ya CCM Wataalamu wa Body language someni hii picture

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...