JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA INAUNGANA NA WATANZANIA WOTE KUMPONGEZA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA KUCHAGULIWA TENA KUONGOZA NCHI YETU,PIA TUNACHUKUA NAFASI HII KUIPONGEZA SERIKALI YETU NA WATANZANIA WOTE KWA KUENDESHA UCHAGUZI KWA UTULIVU,SALAMA NA DEMOKRASIA YA KWELI.

PONGEZI ZILIZOTOLEWA NA VYAMA VYA SIASA AMBAVYO PIA VILIKUWA KATIKA UCHAGUZI HUO INAONYESHA JINSI NCHI YETU NA VIONGOZI WETU WALIVYO NA BUSARA YA HALI JUU, NA KUSEMA USHINDI NI WA WATANZANIA WOTE.
UCHAGUZI UMEKWISHA SASA TUUNGANE PAMOJA KUJENGA NCHI YETU.

MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Kagutta N.Maulidi
KATIBU MKUU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. safi sana na hivi ndivyo tuishio ughaibuni tunavyowakilisha!

    Zaununu-Amsterdam

    ReplyDelete
  2. Wewe katibu sasa nafikiri itakuwa wakati mwafaka... kama utawashauri watanzania wengine hapo na wewe mwenyewe, mrudi sasa nyumbani kuendeleza nchi yenu (tumewachokeni hapa Italy kwani mnachukua/mnafanya kazi za wazawa wa hapa) nafikiri chama tawala CCM kimeandaa mazingira mazuri sana kwa nyine vijana mliokimbia nchini mwenu kwa ajili ya matatizo ya kiuchumi... Go Home, and invest in your own coountry, and help your fellow Tanzanians there... hapa Italy kodi yako unayotulipa haiwasaidii wa tanzania waishio nchini kwako Tanzania. ubalozi wa Tanzania hapa Italy unatosha sana kuwawakilisha watanzania, hivyo usiwe na wasiwasi. Rudini kwenu Tanzania. Ansante - Kokoliko

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...