
TAWI LA CHAMA CHA MAPINDUZI NAPOLI- ITALIA LINAPENDA KUWATANGAZIA WANACHAMA WA CCM NA WATANZANIA WOTE KUWA LEO TAREHE 6/11/2010 KUTAKUWA NA SHEREHE KUBWA MJINI NAPOLI YA KUSHANGILIA USHINDI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KATIKA UCHAGUZI MKUU 2010, NA KWA KUCHAGULIWA TENA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE KULIONGOZA TAIFA LETU.
SHEREHE ZITAANZA SAA KUMI JIONI.
WOTE MNAKARIBISHWA TUFURAHI KWA PAMOJA.
A.BENDERA
KATIBU SIASA NA NA UENEZI WA TAWI
SHEREHE ZITAANZA SAA KUMI JIONI.
WOTE MNAKARIBISHWA TUFURAHI KWA PAMOJA.
A.BENDERA
KATIBU SIASA NA NA UENEZI WA TAWI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...