Home
Unlabelled
rais mteule wa serikali ya mapinduzi zanzibar dk. ali mohamed shein aongea baada ya kushinda uchaguzi visiwani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
asante kunipa nafasi ya kutoa maoni yangu. Ninachotaka mie kutoa maoni yangu ni kuhusu umeme tunaonunua.pamoja na kukatwa kodi ya 18% inakuwaje tena tunakatwa na Eura? Eura ni project iliyoko chini ya serikali iweje mie ndo nimlipie matumizi yake na wakati anapata ruzukuserikalini? na 3% ya umeme wa vijijini na wakati MCC wameleta mabilioni ya pesa kama sio wizi ni mambo gani hayo? mwananchi anaishi maisha mabaya umeme kwake inakuwa kama anasa haya mambo hatuyataki na wizi wa hadharani.
ReplyDeletenawashkuru CUF NA DR. SHEIN kweli demokrasia imekua zanzibar hii ni mara ya kwanza kabisa kutokea duniani watu kutangazwa wakawa wapo sehemu moja.UMOJA WA KITAIFA OYEEE
ReplyDeleteInaonesha wazi watu wa unguja uongozi walishindwa zamani na ndio m aana nafasi nyeti zimeenda kwa wapemba,Hongera speech inasisimua kabisa Mungu akupe imani hivyo hivyo na Pemba kujengwe.Tanzania Mungu ibariki
ReplyDeleteMUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI AFRIKA. ONGERA SANA DR.SHEIN KWA KUCHAGULIWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR.MUNGU AKUPE HEKIMA,BUSARA NA MAHALIFA KTK KUIONGOZA ZANZIBAR.MUNGU BARIKI NGAZI ZOTE ZA UONGOZI ZANZIBAR NA WATU WAKE.AMEN
ReplyDelete