kocha wa Real Madrid Jose Mourinho hana hamu baada ya kupigwa 5-0 na Barcelona na kuchezewa kama waoto wadogo daika zote za mchezo uwanja wa Camp Nou huko Barcelona usiku huu. 'The special one' leo kawa mdebwedo...
Yaani aibu.... hadi wanarusha hadi ngumi....kadi kibao...kama Yanga vile
Habari kamili nenda BBC SPORT

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. NILITAKA REAL MADRID WASHINDE ILA DUH ILE FOOTBALL YA SIJUI SAYARI GANI JAMANI... WaNACHEZA KAMA SIMBA TAIFA KUBWA AU ZANZIBAR WALIVYOMPIGA SUDAN. KILIMANJARO STAR NAOMBA MTIZAME MAMBO KAMA YALE HAYANA HARAKA PASS ZA AKILI LAZIMA TIMU YETU KILIMANJARO IJIREKEBISHE. KK.

    ReplyDelete
  2. Michuzi we ni mwana habari kwa nini hubandiki habari za uhakika? Cam Nou iko Barcelona na si Madrid.

    ReplyDelete
  3. je bacelona na MAN UTD wakicheza nani atafungwa iwapo wakikutana uefa?????????

    ReplyDelete
  4. Absolutely incrredible performance! Football played at its very highest level by Barca kama KAGERA SUGAR vile cant wait for april classico

    ReplyDelete
  5. kaka michuzi hapo ilikuwa camp nou,barcelona..sio madrid

    ReplyDelete
  6. Not madrid barcelona FOOL!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Hii ni blog ya jamii, haipaswi kuwa biased!! Tunazungumzia performance bora kabisa ya Barca jana pale Camp Nou, lakini watu wasio na busara wameanza kuizungumzia Yanga, anyway great performance toka kwa Catalunya Boyz! Big Up Pep Guardiola, ile soka toka nimezaliwa sijawahi kuona, Real Madrid ni aibu tupu!!

    ReplyDelete
  8. Mhhh! Nilipenda Real ashinde ila Barca niliwanyoshea mkono kwa mchezo wa kasi na pasi za uhakika. Kuna kiopindi Barca ilikuwa inamiliki mchezo kwa asilimia 72. Wachezaji wetu zetu jamani muwe mnaangalia na kuchukua somo fulani ili kuongeza kiwango.

    Huyo mdau aliyetukana hapo juu badala ya kumkubusha Michuzi kuwa Camp Nou ipo Barcelona ni mjinga.Si kwamba yeye ndiyo mjuaji sana, huo ni ukosefu wa ustarabu. Jifunze ustarabu na ubadilike.

    ReplyDelete
  9. SASA NA WEWE MICHUZI HUNA PICHA NYINGINE NGURI UKATOA? MTU ANATEMA MIMATE WEWE NDIO UNATUWEKEA??????

    ReplyDelete
  10. Mshimshangae Michuzi kwa kukosea,hilo ni tatizo la mashabiki wa Simba wote. Huwa hawana data ndo maana hata viongozi wao kila siku wanachezesha wachezaji wenye kadi tatu halafu .... kwa kulalamika!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  11. kila sehemu niliyopita kabla ya mechi almost washabiki woote wa manchester united walikuwa wanashangilia real madrid sababu ya cristiano ronaldo wakijinasibu eti ronaldo ni mkali kuliko samaki wa kutereza (messi)yaani ilikuwa kero tupu lakini baada ya mechi man u woote chali! messi akawadhihirishia ni namna gani ilivyo vigumu kumdaka samaki kwa mikono akiwa kwenye maji... mtoto anapigwa buti-kiatu-daruga mtoto anateleza kama fishiiiiii. man utd chaliii na ronaldo wao wa kichina ronaldo katuni (simsemi ronaldo original ronaldo m-fenomena- ronaldo de lima.... morinho mdomo umepindishwa kwa vitendo..

    written by: manutd fan

    ReplyDelete
  12. wabongo kumbe wana ushabiki wa taarab bado?anyway tuwe na uzalendo na vya kwetu,hivi kili Styars inacheza lini game yake ya Challenge?na Kaseja kachaguliwa Neshno tim ya Kili Staa?Naamini ipo siku tutaiona huku ughaibuni neshno tim ya JK inatuwakilisha wedi kapu

    ZAUNUNU-AMSTERDAM

    ReplyDelete
  13. Hii si bure, lazima kuna "fitina" ilipita bila kujulikana kama ilivyo michezo ya bongo!!!

    ReplyDelete
  14. MICHUZI NILIKUWA SIJUI KAMA WEWE NI SHABIKI WA TIMU YA SIMBA INAYOMILIKIWA NA WASHIHIRI NA FANS WAO WALIOKUJA MJINI UKUBWANI.

    ReplyDelete
  15. watu washaanza ugomvi hapo,nani anataka kuleta habari za yanga hapa?si tushawatia kimoja nyie wanyama?au mnataka tano na nyie mnyamaze?alaa hebu kaeni kimya tuenjoy mpira sisi kwa raha zetu,knjaro inajimwaga hukoo ngasa afanye mambo sasa km messi atengeneze mabao kadhaa km jana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...