
For more information please
visit Azgad Ventures at
www.azgadventures.com

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wanandugu wenzangu. kuna Mwingereza mmoja umri miaka 54 na ana PhD katika shughuli hizi za kutengeneza mapaa ya nyasi na amekuwa akitumiwa sana kutoa utaalamu wake.
ReplyDeleteSwali la kizushi, ni vijana wangapi wa kitanzania wanataaluma kama hii au wanampango wa kupata taaluma kama hito?
Bahati mbaya iliyoje wabongo hawapendi kujishughulisha katika vitu vya ujasiriamali kama hivi.
ReplyDeleteHiyo biashara ya vinyasi inalipa sana, mwishoni mwa mwaka jana nilitengeneza kibanda changu cha kupumzikia nje ya nyumba na kuweka makuti ya namna hiyo, iligharimu takriban 7m, 3m ikiwa ni ufundi peke yake.
Na si kwamba nililaliwa bali unaweza kuappreciate kazi yake manake iliwachukua siku nne kumaliza kuezeka, ni kazi ya kifundi sana.
Sasa nikajiuliza wabongo wangapi wanajishughulisha na vitu kama hivi manake ajira sio lazima kuvaa tai peke yake.,
Hata hivyo nampongeza mdau aliefungua kampuni kabisa ya kufanya mambo ya kuezeka vinyasi, sio tu anaendeleza utamaduni wetu bali pia anajipatia kipato chake halali.
Nilikwenda sauzi mwaka jana, uwanja mkuu wa ndege mpumalanga umeezekwa kinyasi ili kuvutia watalii.
Hongera wadau wa vinyasi...
mtoa maoni wa pili nahisi utakuwa ni ndugu yetu wa kulekule BK duh
ReplyDeleteSie wenzenu tunampango wa kutokomeza nyumba zoote za manyasi,hata wagombea walisema
ReplyDeletehizi nyasi zina hatarisha maisha.
ReplyDeletehatari ya moto.