Jengo la Rwabizi Plaza ambalo ni la pekee la binafsi la Biashara, jengo hilo lina kumbi za mikutano, sehemu ya maduka, hoteli na sehemu ya michezo na vyakula.
Mkurugenzi wa Rwabizi Plaza Salvatory Rwabizi
akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa jengo hilo.

Mkurugenzi mtendaji wa jengo pekee binafsi la Biashara mkoani Kagera la Rwabizi Plaza, Salvatory Rwabizi (kushoto) akiongea na wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani Kagera wakati wa sherehe ya uzinduzi wa jengo hilo Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii Bukoba



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Bwn Rwabizi hongera kwa kuwekeza nyumban. kwa kiasi kikubwa umewezesha vijana wa bukoba kwa kuwapatia ajira na kuboresha bukoba. hongera

    ReplyDelete
  2. Tafadhali tunaomba basi Bwana Rwabizi aweke hata barua pepe yake na simu, maana hapa anatangaza biashara.
    Mdau muwekezaji

    ReplyDelete
  3. Bw. Rwabizi, hongera sana kuliko maelezo. Umetutoa changa, maana tulisifika kwa kuwa wasomi, matajiri na mengine mengi, lakini hakuna aliyetumia fursa ya majalio yake kukumbuka nyumbani. Mungu azidi kukuongezea, na uzidishe mengine mengi. Mkoa wetu umejaliwa na Mungu, hivyo tushukuru na tufanye kweli. Nadhani wengine watafuata. Tunahitaji viwanda, utalii, kilimo cha kisasa. Huu ni mwanzo mwanangu, asante sana. Ubarikiwe.

    ReplyDelete
  4. oshumalamu waitu

    ReplyDelete
  5. safi sana ..lakini wasiwasi wangu ni hivyo vioo vitahiji mtu wa kuvisafisha mara kwa mara kutokana barabara ya vumbi la udongo mwekundu...hapo sijui ni mjini au nje ya mji...lol

    ReplyDelete
  6. kila leo Bukoba inaendelea kukua na kuboreka, safi sana

    ReplyDelete
  7. Design team walijitahidi sana kwa upande wa materials nliliona jengo hili mwaka jana, ila kidogo zimetumika nguzo beams na column za zege, huu ni uchafuzi wa mazingira watu wa planning katika Halmashauri ya Bukoba mjini walitakiwa kuliona hili, na hoja nyingine hapa tunahitaji wawekezaji wa majengo marefu katika miji yote, local council lazima wawe na tall building policy, moja hizi policy nikulipisha kodi jinsi jengo linavyokwenda juu, hii itasaidia kupanua miundo mbinu kama mitaro ya maji machafu kutokana na watumiaji wa majengo, hili lazima lifanyike kwani tunapopata matatizo ya mitalo kuziba, mfano posta mpya Dar-es-salaam, majengo yaliyozunguka kwa mwaka hayalipi kodi yakufanya marekebisho ya mitaro hapa unakuta Halmashauri zinashindwa kwani hakuna kilichokusanywa kkutokana na ongezeka la watumiaji katika majengo husika, kama haya yatafanyika mipango miji itakuwa mizuri. Mchangiaji mmoja anasema vioo vitachafuka, hili siyo swala muhimu kama mazingira, hili jengo limetumia mbao chache sana kwani frames zote ni aluminium na vioo, kwahili tena nawashukuru sana hasa mchoraji.
    Na mwisho Bukoba majengo mazuri yapo lakini nyumba wazee wetu walizijenga vijijini siyo mjini Bukoba, lakini miaka ya karibuni utakubari kwamba sasa hii ni HAYALAND.
    pkahatano BSC(HONS) PD&QS, HND IN CONSTRUCTION,

    ReplyDelete
  8. Nshomile PKahatano tunashukuru kwa maelezo yako. Basi tunaomba anwani na simu yako ili tukutumie katika makadirio.
    davis_ngaiza2002@yahoo.com
    Mdau Norway.

    ReplyDelete
  9. WOW...dad u made it..You are developing the place..
    Ur building is a history of that place..
    Foreva u will be the 1st brave mind maker
    Keep counting ur blessings..
    mwaah!

    ReplyDelete
  10. MIMI NAOMBA APE UBUNGE HUYU MTU..
    HANA AKILI NA BUSARA SANAA..
    BABA YAKE(MAREHEMU)ALIMNUKUU NA HEKIMA NYINGI..PAMOJA NAE ALIKUWA TAJIRI KIPINDI HICHO.."MZEE RWABIZI MWENYEWE"..ALIKUWA NA HOTEL HAPO BUKOBA ILIYOITWA "RWABIZI HOTEL"

    wadau mnasemaje??

    ReplyDelete
  11. kabisa apewe uraisi mwaka 2015
    hongera sana mkurungezi..Umeiendeleza bukoba sana na watu wengi wanakusifu kwa kazi yako.
    Unasifika pande zote za Dar.es.salaam

    Hongera Mkurungenzi wa RWABIZI PLAZA

    ReplyDelete
  12. HONGERA SANAA..
    KAZI KUBWA SANA UMEFANYA..
    UR A MILLIONAIRE!

    ReplyDelete
  13. congrats uncle u hv made bukoba town to be a place for the talk of the town.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...