Mh. John Magale Shibuda (pichani) na Silvester Kasurumbai wametangazwa rasmi na wasimamizi wa uchaguzi kuwa wabunge wa maswa magharibi na mashariki kwa tiketi ya CHADEMA baada ya kushinda kwa kura nyingi katika uchaguzi mkuu. Shibuda kakomba kura 17,456 Maswa Magharibi wakati Kasurumbai kazoa kura 17,075

leta na nyamagana kwi kwi kwiiiiiiiiiii............
ReplyDeleteleta na nyamagana kwi kwi kwiiiiiiiiiii............
ReplyDeleteNa Badoooooo!! tunakuja pole pole kama hatutaki tutaonana 2015!
ReplyDeleteHongera sana Shibuda. Wewe ni Mwanasiasa wa ukweli na unawapenda sana Wananchi wa Maswa.
ReplyDeleteshibuda na Maswa, Maswa na shibuda.
Ameahidi kujenga barabara zote jimboni mwake ndani ya miaka mitatu. Tuone kama atatekeleza ahadi hiyo ya danganya toto.
ReplyDelete