with a jersey signed by all players of the host team
What a week it has been fot Tanzania tourist Board who managed to recreate the atmosphere from the the world Travel market at Stoke city stadium Saturday, when Stoke was playing Liverpool.
What a diffence it makes to see Tanzania Tourism Adverts being run on the stadium's LED in the middle of England. It was Stoke City who won the match , but it was a victorious and memontous occassion for the Tanzania visitors and the country at large.
Hongera sana kwa Tanzania Tourist Board kwa kuchukua hatua hii kubwa katika kuitangaza Tanzania ulimwenguni. You have been heavily criticised in the past, rightly so in my opinion but this is a positive step in the right direction. Congratulations to all those involved in putting this together.
ReplyDeleteMday T-Dot
nimesoma katika daily news ya leo tar 15 Nov 2010 kuwa Serekali imelipa Tzs800M kwa ajili ya kutangaza kwenye viwanja timu za Blackburn, timu yangu ya Newcastle Weast Brom na Wolves, nikiwa mtaalamu wa masoko ningependa serikali ingelipa zaidi kidogo kwa ajili ya kutangaza kwenye viwanja vikubwa vya timu kubwa kama Liverpool hata kama imeanza kwa kudorola, Arsenal, Chelsea, Man United/City na Totenham. more awareness would have been created KULIKO WALIVYOFANYA SASA. watupatie sababu za msingi kwa nini hajatangaza huko- NAWASILISHA
ReplyDeleteThis is good marketing but have we thought about how expensive is Tanzania as tourist destination?A very few people can afford to come to Tanzania. Our hotels, domestic airlines and park fees etc are very expensive.Many tourists would choose Kenya or S.Africa.Hope this time it works.
ReplyDeleteSuala sio kuwa na watalii wengi bali ni kuwa na watalii wachache watakaoleta nchini fedha nyingi sio wale wanaokuja wanakula mihogo na juisi barabarani... muhimu ni kuwa wadhibiti makampuni ya watalii ili waje kulipia nchini kwetu.. Na kuhusu suala la kutangaza kwa timu kubwa sio muhimu mbona hiyo mechi stoke wamecheza na liverfools na watazamaji wameona, hapa muhimu ni kutangaza huko hata ingetangazwa old trafford ungesema wakatangaze wembley na ktk world cup
ReplyDeleteMichuzi ushindwe na uregee uwe kama Farouk, Kitwana,Ahmed box la peni
ReplyDelete( nadhani unawajua). kwa kubania comment za watu.
Bwana Ayoub sahihisho Stoke city iko kwenye mji wa Stoke-on-Trent ni Kaskazini (North) ya ENGLAND na sio middle of England kama ulivosema, ingekuwa sahihi kama kusema ni middle of Great Britain ambapo inamaanisha jumuiya ya England, Scotland and Wales.
ReplyDeleteShida ninayoiona ni kwamba tovuti inayotangazwa ni ile ile ya Tanzania Tourism Board, ikiwa inapatikana kwa majina tofauti-tofauti:
ReplyDelete- www.visit-tanzania.go.tz
- www.tanzaniatouristboard.go.tz
- www.tanzaniatouristboard.com
Yote hayo ni kitu hicho-hicho kimoja, wakati ambapo madhumini na upangaji (design) ya tovuti ya Taasisi (yaani "corporate website") yanatofautiana na yale ya kutangaza biashara (yaani "marketing website").
Inasikitisha kwamba TTB hawajaliona hilo. Hivyo wameiacha pembeni fursa ya kuungana na wadau wao wakuu, wakiwemo TASOTA, HKAT, TAWIRI, TANAPA, n.k. ili kwa pamoja wajenge tovuti ya Marketing kuitangaza biashara ya utalii Tz kwa mwenendo wa kimasoko.
Kwa kweli sijui Mwingereza wa kawaida atavutiwa na kitu gani pale atakapofananisha tovuti ya TTB na hizo za Travel Agents waliozoeleka huko kwao?