Tunahaja kubwa ya kusisitiza kwa bendi zetu za mziki wa dansi,Taarabu na vikundi vingine kujitangaza kwa kutumia picha maalumu.

Bendi ya INAFRIKA Band aka "Wazee wa Indege" ni mfano mzuri sana wa kuigwa bendi hiyo ambayo ipo ziarani Australia na Newzeland.

ni moja ya bendi chache sana zinajitangaza pia kwa kutumia picha...,kama watalaamu wana sekolojia wanavyodai kuwa picha inaongea lugha 70! na ni silaha muhimu sana ya kujitangaza,kwa bendi zetu ambazo hazijapiga picha maalumu kwa ajili ya kujitangaza,wakati ndio huu.

kwani wachina wana usemi usemao "Wakati mzuri wa kupanda matunda ni miaka 20 iliyopita" kama ulichelewa basi "Wakati mwingine mzuri ni panda sasa" Usemi huo una maana zaidi kuliko huu wa kiswahili heti "Alie lala usimwamshe! kama atukuhamshana sisi tutalala njaa.

wasikilize hapa
www.myspace.com/inafrikaband

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kaka mtoa mada, wazo lako ni bomba na naamini washika dau wa duru ya sanaa watakupa shavu na kufanyia kazi maoni yako.

    Si vibaya kukumbushana kuwa, next time tumia spelling check unapoandika mistari miwili mitatu ili kupunguza makosa ya baadhi ya maneno, umechapia kiswahili ile mbaya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...