URBAN PULSE walipata fursa ya kukutana na Sporah show kwa ajili ya kutangaza na kuhamahisha vita dhidi ya malaria duniani kote.

Show hii itaonyeshwa leo usiku 15.11.10 hapa Uk kwenye Ben Tv saa tatu na nusu (21.30) ndani ya sky channel 184 Na pia itarushwa katika star tv ambayo ipo Tanzania muda sio mrefu. Tafadhali usikose.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Sporrrraaaaaa NOT Spollaaaa. Ha ha ha
    dada kazi unaiweza sana tu. Napenda sana unavoiteract na guest wako kwenye show.
    Hope to meet you sometime Spora

    ReplyDelete
  2. How to watch this show jamani huku India???? Inaonekana iko Juu.

    ReplyDelete
  3. Inafurahisha sana kuona vijana wetu wanafanya mambo kama haya.
    hongereni sana vijana na Mungu awazidishie.

    ReplyDelete
  4. Laura - MwanzaNovember 15, 2010

    Nakubaliana na anonymous juu hapo, kwakweli napenda unavyointeract na watu kwenye show, Yani utadhani hamna camera's vile, Your so real Sporah i really like your show. Keep it up girl.

    ReplyDelete
  5. Nilichokiona kama critic ni kama ifuatavyo.
    Nocha nenda ukajifunze kiingereza cha kuongea,inaonekana unacho cha kuandika na wewe Mr miwani zungumza kwa data na facts acha habari za mtaani,maana unakatiza na unazungumza kama unaongea na rafiki sio kama uko kwenye show. Mwisho Bwana masuti ondoa jazba, mikono mingi mino kuliko maneno, Ujumbe unao ila haufiki itakiwavyo.
    Otherwise kwa wote nyie watatu kazi nzuri kwa kusaidia kuondoa malaria TZ, endelezeni hii kazi nzuri na mnaonyesha mko katika right path kimawazo kwa ajili y kuleta maendeleo.

    ReplyDelete
  6. MMh, Kaugonjwa kangu haka, jamani Ankal huyu dada mbona ivi? Anaisumbua roho yangu? Na Hao urban pulse wanambusuje mtu kwanguvu ivo?????
    Mdau USA

    ReplyDelete
  7. Urban Pulse na Sprah show hongereni kwa kutuletea mahojiano haya. Ninependa tu kuongeza machache hapo, naona Urban Pulse bado mpo kwenye msisitizo wa kuelimisha watu kuhusu malaria, mimi nafikiri elimu kuhus malaria sasa hivi itatolewa ya kutosha, isipokuwa pesa nyingi zinazotolewa katika mapambano dhidi ya gonjwa hili zinaliwa kinyemela kabla ya kutimiza malengo. Na lengo nilalozungumzia hapa ni kuelekeza nguvu katika kupambana na vyanzo vy amazalio ya mbu, madawa na pia kuhakikisha mazingira wanayoishi watu ni masafi siku zote....Ukienda Bongo leo hii, madimbwi bado ni mengi...sasa hata ununue vyandarua milioni, kama mbu bado wanaendelea kuzaana, itakuwa ni tabu kulimaliza tatizo. Yaani mmbu mmoja ni mkubwa kama inzi! Kama mlivyokumbusha "prevention is better than cure"........

    ReplyDelete
  8. Sporah nywele hizo mdogo wangu, Uko juu mdodo wa Kichaga.
    Urban Pulse shikilieni hapo hapo asiwaambie mtu.
    Hongereni sana vijana.

    ReplyDelete
  9. MH GUYS NEED TO TAKE ENGLISH COURSE. PULL OUT BLOOD WHAT KIND OF ENGLISH IS THIS. MR NI DRAW THE BLOOD

    ReplyDelete
  10. Uncle Michuzi,
    Asante sana kutuwekea video ya hawa vijana na kutuonesha juhudi zao kupambana na malaria. Nakubali kabisa, suluhu ya tatizo si kuweka tu vyandarua, bali kuua kabisa mazaliano ya mbu. Long live Tanzania Boys!

    Mdau,
    USA

    ReplyDelete
  11. simuongee kiswahili tu then someone could put english caption...seems hicho kilugha kimekua kigumu....shughuli kwelikweli...too much energy i guess the lost bunch of calories on those ten minutes....mabanda ya kuku...lol!!

    ReplyDelete
  12. Jamani wakina maimuna tupo wengi naomba mnielekeze wapi wanafundisha kizungu vizuri napenda ongea kizungu lakini sijui nitapata wapi mwl mzuri anifundishe nipo DAR UKUNIONA UTAFIKIRI LUGHA INAPANDA kumbe sijui PLZ PLZ PLZ!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  13. Anonymous wa pili kutoka chini unawasema wenzio hawajui lugha halafu we menyewe kuandika hujui (..too much energy i guess the lost bunch of calories on those ten minutes....mabanda ya kuku...lol!!)ama kweli nyani haoni kundule. afadhali huyo kijana amekuwa mkweli na kuuuliza banda la kuku linaitwaje kizungu

    ReplyDelete
  14. Jamani hawa Urban Pulse Kiinglishi chao kigumu!!!! If you can pull my Blood!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...